Shamba lenye ukubwa wä jumla ekari 13 ambalo limepandwa miti ya paini ekari 8 na ekari tano limepandwa mlingoti. Hyo miti inaumri wa miaka5 na unauziwa miti pamoja na ardhi million 30. Shamba liko...
Tumewaletea mitego ya kunasa mbu inayotumia umeme na kukufanya ulale bila bugudha ya mbu, huna haja ya kuweka net, mitego hii haina athari kiafya kwni hakuna kemikali inyotumika ni umeme tu...
Habarini Wadau
Kuna nyumba mbili nzuri zipo Arusha mjini,eneo la Ilboru,mita 250 tu kutoka barabara kuu ya Arusha-Moshi.
-Nyumba mojawapo ni ghorofa yenye vyumba vinne vya kulala (master...
Habari wadau!
Natafuta bajaji iliyotumika yani used ambayo bado ipo kwenye hali nzuri. Budget yangu ni 3.0mil..
Tafadhali kama unayo ama kuna mtu anayo na unamfahamu niunganishe nae...
Flash za simu: ni flash ambazo unaweza kutumia katika simu/ computer kwa urahisi sana
Zipo 8.0GB kwa 20,000tzs tuu
Jumla ni 17,000tzs - kuanzia 5pcs
#0712888884 kwa maelezo zaidi Tupo #QualityCentre
Sabakher Wadau;
Nimetangaza Juz Nauza Complete Set Ya Video Shooting! Taa! Camera! Na Stand! Mpaka Leo Hamjajitokeza Njoon Bas Nataka Kuuza Fasta! Nahama Mkoa! Vyote Nichangie 250,000/= Tu...
Nauza samaki wabichi aina ya sangara kwa jumla na rejareja,bei ya jumla ni sh.5500 kwa kilo. Hii ni kuanzia kg 5 na kuendelea. Kwa rejareja ni sh. 6500 kwa kilo. Hii ni kuanzia nusu kilo hadi kilo...
Leather factory for sale in Shinyanga. It's closed and is scheduled to be auctioned on the 10th of April.
Total size: 12 acres
Price: USD 7 Million
Serious buyers should send me an email for...
BlackBerry z10 inauzwa
Internal memory 16 GB
Camera 8 Megapixels
Front Camera 2 MP
RAM 2 GB
Ipo in very good condition haina tatizo lolote.
Bei 200,000 (Maelewano yapo)
Nipigie/nitext kwenye...
Wakuu Habarini Za Majukumu!
Nauza Power Inverter Yangu. Haina tatizo lolote, wala haijawahi sumbua, Nilikuwa Naitumia Kuwasha Bulb 2 Tu. Sikuwa Na Solar Panel Ila Nilikuwa Natumia Kwenda Kuchaji...
hekari mbili na zipo tayari kwa kupasua mwaka huu miti ya miaka 7, pia ninaekali kumi miti ya miaka mitatu pia naliuza, mashamba yapo mafinga Iringa umbali wa km 30 toka barabara kuu (dar -...
Heshima kwenu wote,
Viti vya hiace/Nissan (daladala) vinahitajika viwe vipya/hali nzuri.
Nina gari Nissan ambalo halina viti vya abiria.
Napatikana Arusha.
Kama jibu lako ni ndiyo basi usisite kunitafuta whatsapp kwa namba hii 0673-659759 nikuongezee idadi yoyote ya followers unaohitaji hata ukitaka followers laki moja (100k) nitakuongezea but...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.