Angamiza mbu kwa teknolojia ya kisasa

Ccreation

Senior Member
Sep 27, 2015
145
55
Tumewaletea mitego ya kunasa mbu inayotumia umeme na kukufanya ulale bila bugudha ya mbu, huna haja ya kuweka net, mitego hii haina athari kiafya kwni hakuna kemikali inyotumika ni umeme tu!

Karibuni ; 0762576878
 
Weka bei yake mkuu. Itakua iko poa sana
 
Sawa mkuu,ila najaribu kuaupload picha inanizingua , KUNA AINA TANO TOFAUTI KULINGANA NA SIZE ,KAMA UNA ENEO KUBWA ZAIDI HUTAITAJI MTEGO MKUBWA ,BEI ZETU NI KUANZIA ELFU 60,80,100,120, BIDHAA HIZI ZINA WARRANTY YA MWAKA MZIMA, NA SPARE PARTS ZINAPATIKANA TOKA KWETU ,WEKA MBALI NA WATOTO KWANI BAADHI INA UMEME UNAOWEZAKUSHTUA
 
vizuri na huku mikoani mkatusambazia. vip kuhusu umeme inakula au kawaida tuu.
 
Weka picha!!
cd84f585777b23031c52e2082093a209.jpg
b83fd14fec305e16516c50b384bc1e8f.jpg
 
Tumewaletea mitego ya kunasa mbu inayotumia umeme na kukufanya ulale bila bugudha ya mbu, huna haja ya kuweka net, mitego hii haina athari kiafya kwni hakuna kemikali inyotumika ni umeme tu!

Karibuni ; 0762576878
47502f3801a4600e9feacbe66bc9a460.jpg
 
vizuri na huku mikoani mkatusambazia. vip kuhusu umeme inakula au kawaida tuu.
Inatumia umeme mdogo wa kawaida tu,uko mkoa gani tunaweza kukutumia boss
Sawa mkuu,ila najaribu kuaupload picha inanizingua , KUNA AINA TANO TOFAUTI KULINGANA NA SIZE ,KAMA UNA ENEO KUBWA ZAIDI HUTAITAJI MTEGO MKUBWA ,BEI ZETU NI KUANZIA ELFU 60,80,100,120, BIDHAA HIZI ZINA WARRANTY YA MWAKA MZIMA, NA SPARE PARTS ZINAPATIKANA TOKA KWETU ,WEKA MBALI NA WATOTO KWANI BAADHI INA UMEME UNAOWEZAKUSHTUA
 
Analyse vizuri
Kifaa kinaitwaje, kinafanyaje? Bei zake zipoje
Sio unakuja tu Eti kifaa, then unaweka namba umempa nani salio apige
Mkuu nimeelezea hapo juu na picha nimeweka sasa, bei zetu ni kuanzia elfu 60 ,80,100,hadi 120 ,ni mtego wa mbu ambao hutumia umeme hakuna kemikali, hutumika kama taa yenye mwanga hafifu sana hivyo wadudu mbalimbali hufuata na kunaswa, ni imara na waranty ya mwaka mmoja unapewa,
 
Ukilala kitanda bila net na pembeni ukaweka iyo taa , mbu ataelekea wapi?

Nadhani ataenda kutegesha probosis yake kusuck damu
Kifaa kinaweza ishia kukamata wadudu wengine sio mbu.

Matumizi ya umeme yapoje kwa hicho kifaa
 
Inaelekea mshkaji ni dalali mbona haeki picha halisi ya hiko kitu zaidi ya kartas ya matangazo ndio kaipiga picha
 
Wadau matumizi ya umeme ni madogo sana ,chini ya taa za kawaida ,
 
Tumewaletea mitego ya kunasa mbu inayotumia umeme na kukufanya ulale bila bugudha ya mbu, huna haja ya kuweka net, mitego hii haina athari kiafya kwni hakuna kemikali inyotumika ni umeme tu!

Karibuni ; 0762576878

1. Je una uhakika kemikali tu ndio zinaleta athari kiafya?
2. Una uhakika umeme hauna athari kiafya?
 
Back
Top Bottom