Mbona Hamtaki Kununua Hivi Vifaa Vya Video Shooting??

mzama chumvini

JF-Expert Member
Mar 14, 2016
730
641
Sabakher Wadau;
Nimetangaza Juz Nauza Complete Set Ya Video Shooting! Taa! Camera! Na Stand! Mpaka Leo Hamjajitokeza Njoon Bas Nataka Kuuza Fasta! Nahama Mkoa! Vyote Nichangie 250,000/= Tu.
Mawasiliano: 0712988560.
Hata Kama Hutak Kununua Nipigie Simu Bas Hata Uulize Ulize Nifarijike.
 
Hahahahahaha!! Imebidi tu nipitie thread zako,sijui umri wako au haya unayoyabandika humu ni maigizo ama lah! Ila iko shida
 
Hahahahaha,yaani nimecheka mpaka watu wananiona kama nimedata.
Yaani hii ni pots of the season.Hahahahaha
Ngoja niendelee kwanza kucheka nitakuja kuuliza baadae,hahahahahaa
Wateja wabishi kweli mpaka muuzaji anaona kama amerogwa,hahahahahaha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom