Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Nyumba ipo Sinza Near kwa Remi Dakika 5 tu toka barabarani, inajitegemea ndani ya geti Sifa zake 3bdrom & 1self contained, kitchen, sitting room, store, public toilet, tiles, gypsum, Allminium...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kwa harufu nzuri za asilia kutoka katika mimea mbali mbali ikiwemo viungo na maua. Karibu ujipatie perfume original kabisa perfume pendwa katika soko la vipodozi dunian kote. Wasiliana nami kwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ni aje wanajamvi.... 1. Kama unataka software package ya Adobe CS6 ama CC, Microsoft Office 2007 / 2010, Cinema 4D R14 na nyingine nyiiingi basi niPM namba yako. Nainstall na ninakuachia na copy...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari za jion wandugu nauza cm blackberry Z 10 ipo ktk hali nzuri bei 250000
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nauza laptop yangu ina sifa zifuatazo Ram 2gb Hdd 300 Wi-fi,webcam, Bluetooth. Charge 3hrs Core i2 2.26,2.27.GHz. Price 400k. Ipo morogoro.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nauza Toyota Landcruser Prado ya mwaka 1999 plate namba BUC Gari ipo katika hali nzuri, bei maelewano. Engine 1kz Napatikana dsm. Contact; 0714 521128 0786 119448
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau, nahitaji generator yenye uwezo kuanzia horsepower 5. Ila hata sijui bei zake na specifications zake. Wazoefu mnishauri aina gani na pia bei zake ili nijipange niingie jijini na mkwanja...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Make : TOYOTA Model : Caldina Mileage : 149000km Engine size : 1990cc Fuel : Gasoline/Petrol Drive : two wheels drive (2WD) Steering : Right Transmission : Automatic Ext. Color : Black...
0 Reactions
0 Replies
731 Views
Kwa wanaume wanaosumbuliwa na kutokwa na upele baada ya kunyoa ndevu,au kupata harara, sabuni nzur ya north for men inafanya maajabu, upele wote unapotea, pia kuna sabuni ya kuogea, age control...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Nyumba inauzwa na kuna uwanja mkubwa ambao unaweza kujenga nyumba nyingine utakayotaka wewe kwani iliyopo ni ya kiwango cha chini. Mahali ilipo ni Igoma jijini Mwanza (Nyuma ya St. Mary School)...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
kina ukubwa wa 25*35, kipo karibu na hostel ya wanafunzi wa saut mwanza. eneo hilo linakuwa kwa kasi ya ajabu. bei 6milion. ukihitaji pm tafadhali
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Jumatatu natarajia kuwa Moshi mjin ntakaa cku tatu,naomba kwa anaejua hotel ya karibu na stand bei nafuu anijuze,serious
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Hodi hodi ninabisha, jukwaani kuingia Kwa simanzi kuwapasha,yale yalonitokea Mtima una mashaka,jinsi ya kuelezea Nimempoteza Kaka, Niliyempenda sana Ilikuwa ni jioni, nikaipokea simu Haraka...
0 Reactions
41 Replies
8K Views
Nyumba ya vyumba viwili(guests), master1, Seating room, choo public, jiko, baraza, mabanda 9 uwani, kisima cha maji, karibu kabisa na barabara ya ubungo maziwa to Mabibo...bei Mil 85..... Ni PM...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
1. Nyumba Vyumba2,Sebule,Jiko na Choo. Ipo MbeziBeach Goigi, Bei tshs laki3/Mwezi. Maji ya Dawasco yapo, Ina fensi na geti. Wasiliana: 0752953860
0 Reactions
10 Replies
6K Views
Bajeti 150,000
0 Reactions
0 Replies
673 Views
Habarin Wakuu,nauza sim tajwa,imetumika vizur,haina scratch, bei ni elf 90, Cont:0625542873 nipo dar
0 Reactions
3 Replies
915 Views
Kiwanja kwa ajili ya makazi kipo maeneo ya Igoma (Nyuma ya shule ya St Mary) - barabara ya nyerere kinauzwa kwa bei nzuri. Tuwasiliane iwapo uko kwenye mipango ya kujikwamua kumiliki mjengo wako...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kiwanja kinauzwa
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kiwanja kinauzwa Mwanza, kipo eneo la Malimbe (Nyegezi) njia kuelekea Sweya. Eneneo ni zuri kwa ajili ya makazi. Kwa anaye hitaji nitafute kwa 0769015725/0689346264
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Back
Top Bottom