Niuzie Bajaji Used Yenye Hali Nzuri

Mangi wa Rombo

Senior Member
Sep 25, 2014
190
126
Habari wadau!

Natafuta bajaji iliyotumika yani used ambayo bado ipo kwenye hali nzuri. Budget yangu ni 3.0mil..
Tafadhali kama unayo ama kuna mtu anayo na unamfahamu niunganishe nae!

+255-768-639-604 (WhatsApp Available)

Thank You in advance!
 
kuna jamaa anabajaji ni mpya na new model inamiezi miwili tu toka anunue anashida na pesa anaiuza kwa hasara ila bado hajaiweka sokoni mcheki WhatsApp 0717473725
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom