Shamba la Miti (Pine) linauzwa

TG10

New Member
Mar 31, 2016
3
0
hekari mbili na zipo tayari kwa kupasua mwaka huu miti ya miaka 7, pia ninaekali kumi miti ya miaka mitatu pia naliuza, mashamba yapo mafinga Iringa umbali wa km 30 toka barabara kuu (dar - Zambia) 0717231622
 
Weka bei Mkuu! Na kapicha kidogo ingenoga Na kuongeza hamasa Na thamani ya Tangazo!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom