Viti vya Hiace.daladala vinahitajika.

Ulongupanjala

JF-Expert Member
Apr 9, 2013
8,157
13,381
Heshima kwenu wote,

Viti vya hiace/Nissan (daladala) vinahitajika viwe vipya/hali nzuri.

Nina gari Nissan ambalo halina viti vya abiria.

Napatikana Arusha.
 
Back
Top Bottom