Nyumba Nzuri zinauzwa bei nafuu.

Kule Kwetu

JF-Expert Member
Jan 10, 2016
3,157
1,893
Habarini Wadau

Kuna nyumba mbili nzuri zipo Arusha mjini,eneo la Ilboru,mita 250 tu kutoka barabara kuu ya Arusha-Moshi.

-Nyumba mojawapo ni ghorofa yenye vyumba vinne vya kulala (master bedroom moja).
-Sebule kubwa na dinning room
-Jiko kubwa pamoja na stoo yake
-Two public toilets+bathroom ya juu moja na chini nyingine.
-chumba kimoja cha kusomea(studying room)
-Veranda moja kubwa ya juu na baraza kubwa ya chini.

NYUMBA YA PILI:-

-Ni nyumba ya chini yenye doule bedrooms, Resting room na toilet+bathroom.

-Nyumba zote zina mfumo mzuri wa maji,umeme na solar power. Pia kuna maji mengi ya kutosha.

Kuna eneo la kupark magari matatu mpaka manne na electric fence.

Kwa mawasiliano:

0656 87976
0764 292894 (Whatsapp)
 

Attachments

  • 1459624597712.jpg
    1459624597712.jpg
    29 KB · Views: 79
  • 1459624657560.jpg
    1459624657560.jpg
    43.4 KB · Views: 93
  • 1459624680830.jpg
    1459624680830.jpg
    31.8 KB · Views: 86
  • 1459624714472.jpg
    1459624714472.jpg
    30.7 KB · Views: 92

Similar Discussions

Back
Top Bottom