Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Nahitaji madini tajwa kiasi cha kilo 50 kwa kila aina ya kito. wenye moonstone, sunstone, tourmaline ya aina yoyote na kiasi chochote tuwasiliane
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Gari IST inauzwa ml 10.8 maongezi yapo.Ina namba D.0715 993 883.
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Asali mbichi nauza ya nyuki wakubwa na wadogo (wasiouma). Bei ni elfu 10 kwa lita kwa nyuki wakubwa, elfu 30 kwa lita kwa nyuki wasiouma. Napatikana Dar es salaam.. Mawasiliano: 0744342995 /...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wakuu, kwa hapa DSM wapi nitapata injini ya boti (mtumbwi )? Una mdau yuko mkoa kaniuliza, nami sina uzoefu na mambo hayo
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Make : TOYOTA Model : HARRIER Mileage : 138,000km Engine size : 2360 cc Drive : 4 wheels drive Steering : Right Transmission : Automatic Color : PEARL Manufactured year/month : 2005/3...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
1234567890
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kama kichwa kinavyojieleza, natafuta frame ya biashara ya duka maeneo ya mikocheni. Kama itapatikana kati ya arcade na escape 1 au barabara ya rose garden itakuwa vyema zaidi. Kama kuna mtu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa mahitaji ya ving'amuzi vya Dstv, Azam-tv, Zuku-tv, Startimes, Digitek, Continental decoder, Abudhab/HUMAX receiver. Karibu katika office yetu iliyopo Magomeni Mapipa(Rangers Computer...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Milioni 35 Imelipiwa kila kitu Haina ubovu wowote Namba za njano 0719796574
0 Reactions
3 Replies
1K Views
atakayeweza kunisaidia anichek 0688206680
0 Reactions
0 Replies
963 Views
Make :TOYOTA Model : LAND CRUISER PRADO Mileage : 89,000km Engine size : 2700 cc Drive : 4 wheels drive Steering : Right Transmission : Automati c Color : Black Manufactured year : 2005/7...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kwa mahitaji ya dangote cement kwa bei nzuri karibu ,unaweza kununua kwetu Na kuuza kwako ukapata faida , Na kwa wale wanaweza kuwekeza kwetu tunawakaribisha
0 Reactions
25 Replies
9K Views
LADYELLYMOVINGSHOP. UTARATIBU. 1.Oda zote zinapokelewa, mteja unapaswa kulipia oda zako ndani ya masaa 72 tangu ulipotoa oda. 2.Oda isiyolipiwa ndani ya masaa 72 ni batili, hvo bidhaa itauzwa...
2 Reactions
8 Replies
5K Views
Shamba lenye hekari 34 pamoja na nyumba linauzwa Mkuranga Lina minazi, mikorosho, miwa, maembe lipo Mkuranga magodani Lina faaa kwa kulima matikiti mpunga mananasi na mazao mengine ILa linafaa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari za leo wana JF... Nichukue fursa hii kuitambulisha kwenu dawa ya asili ya kuongeza performance (kwa jinsia ya ME) kutoka jimbo la Rubavu nchini Rwanda. Nganzi ni dawa ya asili itokanayo...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Habari za kutwa . Poleni na majukumu ya ujenzi wa taifa. Napenda kuwajulisha wale wanaojenga kuwa kuna mabati ya migongo mipana yanauzwa. yapo kama mabati mia moja yana urefu wa mita tatu (futi...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
  • Poll Poll
IPhone ni moja ya gadgets maarufu katika soko. Hii imethibitishwa na mauzo kuongezeka na pia ubora wa bidhaa kua maintained. pia IPhone inazidi kua maarufu kutokana na perfomance na pia heshma...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
...........
0 Reactions
24 Replies
5K Views
Ni wale wale wauzaji wakubwa wa vitu mtandaoni barani Africa wanakuletea ofa kabambe ya March ndani ya Tanzania. Ni punguzo kubwa katika vitu mbali mbali tembelea www.jumia.co.tz upate punguzo...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Tunachora RAMANI aina zote,,,, Tupo Morogoro 0716636641
0 Reactions
11 Replies
6K Views
Back
Top Bottom