Power Inverter Yenye Watts 300. Inauzwa.

MKONGORO

JF-Expert Member
Jun 15, 2014
338
300
Wakuu Habarini Za Majukumu!
Nauza Power Inverter Yangu. Haina tatizo lolote, wala haijawahi sumbua, Nilikuwa Naitumia Kuwasha Bulb 2 Tu. Sikuwa Na Solar Panel Ila Nilikuwa Natumia Kwenda Kuchaji Betri Ya Gari Kisha Natumia, Inverter Hii Nilipewa Kama Zawadi Na Mtumishi Mmoja Wa BWANA (MUNGU ailaza mahala pema roho ya mtumishi wake )Ili Niweze Kujisomea Biblia Nyakati Za Usiku .Nauza ili kutatua shida zangu zangu tu.
Sifa Zake:-
.Power inverter 300w
.DC Input votage 12v(10~15)
.AC Output voltage 220v~240v
. Over Thermal Protection
.Output Short Circuit Protection
.High DC Input Votage Protection
.Overload protection
.Batter Low Alarm
BEI ni laki moja na nusu 150,000/=
Nipo Tegeta, Dar Es Salaam
0765544791/0655544791.
Nimeshindwa Kuapload Picha, Nadhani Kamchina Kangu Hakana Uwezo Huo,
 
Mi nilinunua ka hiyo mwaka juzi tsh 60,000 sasa wewe hiyo bei umeitoa wapi, kaulize kwanza kkoo mpya bei gani ndo ujue uuze bei gani
 
Hivi unajuwa bei ya mpya dukani?
Mkuu Kiukweli Bei Za Dukani Sijui Kwani Nilipewa Kama Zawadi Hivyo Nauza Kama Chombo Cha Ndani. Labda Kwa Kuwa Nilipewa Na Mtu Nae Mheshimu Sana,ndio Maana Nika Over Estimate Chombo Hiki.
 
Mi nilinunua ka hiyo mwaka juzi tsh 60,000 sasa wewe hiyo bei umeitoa wapi, kaulize kwanza kkoo mpya bei gani ndo ujue uuze bei gani
Mkuu Nimeuliza Hapa Dukani Tegeta , Hiyo Ni Bei Ya Solar Charge Controller. Inverter Hapa Hawana.Ila Nitaenda Kuuliza K'koo.
 
Back
Top Bottom