Mteja ya vitunguu saumu anatajika

Feb 2, 2016
34
6
Jamaniii...nauza vitunguu saumu bado vinatolewa shambani....possible adi sasa nataraji kufikisha gunia mia moja na tano...tafadhali tuwasiliane
 
taja bei fasta tufanye biashara...sema vipo mkoa gani tuungurimishe fuso
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom