We are a website designer and we work all over Tanzania and outside Tanzania.
We design a responsive website for school, Ngo's, Online shop, magazine,Business,Classifieds Site etc. We design at...
Kwa wale wanaohitaji Satelite Dish za Startimes zinapatikana kwa Reja reja na Jumla kwa wale wanaohitaji kuwa mawakala wakubwa na wadogo.
Kwa wale wanaohitaji dekoda full set pamoja na ufundi...
Ninauza Panasonic camera DMC-GH2 (hacked) hack has a higher bitrate ambayo ni professional video quality. ipo katika hali nzuri kabisa haina tatizo lolote ipo pamoja lens yake14-42 lens +Original...
Pikipiki mpya kabisa za Boxer BM 150 zipo sokoni kwa bei safi ya Milioni 1 na Laki 2 tu.
Changamkia fursa zipo tatu zote ni nyeusi na hazijatumika kabisa.
Kwa maelezo zaidi njoo inbox nipo Kwa...
Nyumba inauzwa ipo maeneo ya vetenary temeke.Ina
1.master room moja
2.guests rooms mbili
3.sebule/seating room moja
4.jiko
5.public toilet ya ndani
6.public toilet ya nje
7.visima vya maji viwili...
Wasalamu wana wa jf!
Naomba kuwajukisha wale wrote wanaoitaji nyumba ya kupanga au wake madalali wanao pangisha nyumba....kwamba napangisha nyumba (upande) iliyopo eneo la mbezi africana mitaa ya...
Utashindwaje kushine kwa mfano.
jichagulie adidas kulingana na mfuko wako,
Za valvet Tsh 25000
size 40-45
Leather Tsh 40000-50000
bila kusahau Allstar na punguzo la hali ya juu hadi 21000...
Habari za leo?
Kuna nyumba inauzwa maeneo ya Whiterose,Sakina-Arusha.
Nyumba ina
Vyumba 4 vya kulala (kimoja self contained)
Public toilet/bathroom
Sebule
Dinning room
Ina parking ya kutosha...
Habari za asubuhi wakuu?
Nina gari kubwa (Semi tani 30)zinazotoka Moshi Mjini kuja Dar mara 2 kwa wiki,
Naomba kama kuna dalali au mtu yoyote mwenye mzigo wake unaokuja dar tuwasiliane,bei zangu...
Habari ya leo wana JF,
Kwa yeyote anaehitaji kufungua biashara ya Bar/Pub basi hili bandiko linamfaa.
Ni Pub ambayo bado inafanya kazi hapa Tabata Segerea. Roughly inahitajika kama 5mil Kama uko...
Kama una iphone 5s na ina lock ( ICLOUD LOCK) tunabadilisha kwa Tsh 250000 kwa kuacha ya kwako na kukufungia mashine nyengine (MOTHER BOARD) ambayo ipo safi na inapiga kazi
CONTACTS
email...
Nauza kiwanja kipo kip Tegeta A unpitia mbezi mwisho , kiwanja kina ukubwa wa 15 kwa 20 kina msingi wa vyumba vitatu na sitting room! bei milion 2 na laki 5,, 2,500,000/=
mawasiliano 0712846799
Habari yenu JF members, nina shida ya 1 million mwenye nayo naomba anikopeshe hata kwa riba nitashukuru sana. Dhamana ninayo kiwanja ila kipo Mwanza kina hati miliki. Please naombeni msaada wenu.
hello guys habari za kwenu nilikuwa natakujua bei ya gari aina fuso used ni sh. ngapi? pia kama kuna dalali anataka tufanye naye kazi anaweza kuwasiliana na mimi no. 0622645536 eneo nipo moshi mjini.
Ni LG original
42'' FLAT SREEN, new model, thickness yake ni zile nyembamba picha za HD inauzwa 750,000/=
Dukani ni 1,3000,000/=
Jamaa anauza sababu alipewa zawadi TV kubwa zaidi ya 51" kwenye...
Chumba seble na choo kuna fance na geti bei yake kodi kwa mwezi mmoja ni sh 150,000 na kiasi hiki unaweza kulipia kuanzia miezi 3,6 au mwaka pia
Maelezo mengine na ukitaka kuiona piga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.