.msaada wanajamiiWadau msaada. Ni wapi naweza kujumua vitenge nikauza minadan Na nikapata faida. Kwan ukijumua hapa mbeya faida utapata kidogo Sana. Naomba mawazo yenu wadau. Mtaji Ni 1,500,000tzs
Hata mm nimeshindwa kumjibu kwasababu sijui maana ya kujumuaKujumua ndo nini?ni neno la kiswahili?
Ndiyo. Huenda wewe ni mtoto wa miaka ya tisini ndio maana hukuwahi kulisikia hilo neno. Yani ni kununua kitu kwa wholesale badala ya kununua kwa retail. Sorry kama nitakuwa nimekuvunjia heshima kwa kukuita wa tisini...Kujumua ndo nini?ni neno la kiswahili?
Ni wapi naweza kujumua vitenge nikauza minadan na nikapata faida
Hujanivunjia heshima japo mi ni nyani mzee ila kubali usikubali hilo neno si la kiswahili.Ndiyo. Huenda wewe ni mtoto wa miaka ya tisini ndio maana hukuwahi kulisikia hilo neno. Yani ni kununua kitu kwa wholesale badala ya kununua kwa retail. Sorry kama nitakuwa nimekuvunjia heshima kwa kukuita wa tisini...
Kujumua limetoholewa kutokana na neno JUMLA nafikiri hivyo mtu akisema kujumua ana maana kununua kwa bei ya jumlaWewe msokile unafikiri kila mtu humu anajua lugha yenu? KUJUMUA ndio kufanya nini?
Basi inategemea unajua hata kiswahili cha Arusha ni tofauti na kiswahili cha kanda ya ziwa, pia ni tofauti na kiswahili cha Dar n.k... Huenda maali ambapo wewe umekaa hili neno halitumiki...Hujanivunjia heshima japo mi ni nyani mzee ila kubali usikubali hilo neno si la kiswahili.