Msimu mpya wa Adidas, Airforce na All star.

Apologise lady

JF-Expert Member
Sep 16, 2013
5,979
3,103
Utashindwaje kushine kwa mfano.

jichagulie adidas kulingana na mfuko wako,

Za valvet Tsh 25000

size 40-45
Leather Tsh 40000-50000

bila kusahau Allstar na punguzo la hali ya juu hadi 21000 fupi, 25000 ndefu.

Usiposhine umeamua mwenyewe.

Mkoani natuma ila gharama za utumaji ni zako mteja.

watu wa Dar home delivery ni jumamos na jumapili na unachangia 2000

serious buyer ni pm.

1460137947395.jpg
1460138016685.jpg
1460138026205.jpg
1460138122191.jpg
1460138176606.jpg
1460138212046.jpg
1460138236945.jpg
1460138300281.jpg
1460138376779.jpg
 
Attachments

  • 1460137790963.jpg
    1460137790963.jpg
    24.7 KB · Views: 33
  • 1460137886262.jpg
    1460137886262.jpg
    56.9 KB · Views: 34
Okay....but ungejua natupia adidas mpaka Za laki 5 wala usingesema hivyo wacha nikae kimya
 
mbona hasira mkuu
Masihara kwenye mambo ya muhumu huwa sipendi, hvo basi mtu kuleta ujuaji kwenye biashara yangu pia sipendi.

Hapa ni huru, kama unabiashara yako OG unaruhusiwa kuweka, sio kuja kunifundisha mim kijinga,

Hii ndio inawarudisha sana wa Tz nyuma, ujuaji mwingi, utendaji ziro, watu wakifanikiwa, wameiba, freemason au wamehongwa, punguzeni midomo.
 
Mkuu JF ni jukwaa la great thinkers...usitegemee kuwashikisha watu ovyo...wape watu information ili wafanye informed decisions...
 
Unadhan mim mgeni hapa jukwaan?????

Kiufupi hapa sio mgeni, na nafanya biashara kwenye social network yote umazofahamu, nawajua wateja na wasio wateja.

Situmii nguvu kubwa kujibu wajinga bhaaaas.
 
Haya mkuu....but kwa ushauri ili uweze kuwa sustainable na kuwalinda wateja wako..jaribu kumuweka wazi..but kama unataka kumuuzia only once go on..
 
Hebu tulia. Naomba kwa utulivu kabisa nipatie maelekezo unayodhani yamemis hapo.

Pia nisaidie Adidas na All star. Zina matoleo mangapi na nchi zinakotoka. Ainisha hapo. Na namna ya kuzitofautisha.

Maana mim ninachojua sijasema hzo ni OG, na wateja wangu wanajua. maana niweka sana hapa OG baadhi wakalalamika kuwa bei kubwa, ndio sababu nacheza na zote.

Na usichojua hakuna bidhaa fake hapo, najiamin kwa hlo, kwakua kuna wengi wateja wangu humu nj wanajua hlo.

Hebu sema yako nakusikiliza.
 
ok..kama hakuna fake..naomba uniuzie hyo all star basi...
 
Back
Top Bottom