na ww unataka kiwanja??Mkuu ungefunga hapa ingekuwa vema coz wengi wanashida hizo
yes mkuu nahitaji piana ww unataka kiwanja??
kama upo siriaz ni pm au nipe namba nikuchekiyes mkuu nahitaji pia
Kama kuna mtu anataka kiwanja maeneo ya kigamboni kwa bei nafuu aniPM
Me natafuta maeneo ya kuanzia Africana mpaka Bokokama upo siriaz ni pm au nipe namba nikucheki
Nenda Kimara mwisho maeneo ya Bonyokwa kuna viwanja vya bei hiyoBajeti yangu ni 7M..Natafuta kiwanja kiwe Mbezi ya kimara,Kibamba na maeneo mengine karibu na Barbara ya morogoro..Ushauri napokea pia
Kama kuna mtu anataka kiwanja maeneo ya kigamboni kwa bei nafuu aniPM
Bei ikoje?Anaye hitaji Kiwanja Maeneo ya Kitunda tuwasiliane. Kiwanja kina Huduma zote Muhimu kama Umeme na Mitaa iliyopangika. 8kms toka Banana Aviation House. Size ya Plot ni 50sqft X 100sqft.
Kwa Mtu Anayehitaji Kiwanja kwa ajili ya Makazi, hiki Kiwanja sio cha kukosa.
Call/Whatsapp: 0715-240140
Anaye hitaji Kiwanja Maeneo ya Kitunda tuwasiliane. Kiwanja kina Huduma zote Muhimu kama Umeme na Mitaa iliyopangika. 8kms toka Banana Aviation House. Size ya Plot ni 50sqft X 100sqft.
Kwa Mtu Anayehitaji Kiwanja kwa ajili ya Makazi, hiki Kiwanja sio cha kukosa.
Call/Whatsapp: 0715-240140