Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

1. Nyumba Vyumba2,Sebule,Jiko na Choo. Ipo MbeziBeach Goigi, Bei tshs laki3/Mwezi. Maji ya Dawasco yapo, Ina fensi na geti. Wasiliana: 0752953860
0 Reactions
10 Replies
6K Views
Bajeti 150,000
0 Reactions
0 Replies
672 Views
Habarin Wakuu,nauza sim tajwa,imetumika vizur,haina scratch, bei ni elf 90, Cont:0625542873 nipo dar
0 Reactions
3 Replies
915 Views
Kiwanja kwa ajili ya makazi kipo maeneo ya Igoma (Nyuma ya shule ya St Mary) - barabara ya nyerere kinauzwa kwa bei nzuri. Tuwasiliane iwapo uko kwenye mipango ya kujikwamua kumiliki mjengo wako...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kiwanja kinauzwa
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kiwanja kinauzwa Mwanza, kipo eneo la Malimbe (Nyegezi) njia kuelekea Sweya. Eneneo ni zuri kwa ajili ya makazi. Kwa anaye hitaji nitafute kwa 0769015725/0689346264
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kipo mkolani kimepakana na barabara kuu ya Dar Mwanza kina ukubwa wa heka moja na robo , unaweza jenga Hotel,lodge na bei ni nafuu sana milioni mia na hamsini kama utahitaji tuwasiliane kwa...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Kiwanja kinauzwa mwanza jiji. Nyamhongolo kina ukubwa wa square meter 893 niko kwenye kona na kinatazama barabara kwa pande mbili
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kiwanja kinauzwa eneo la Block 2, Buswelu, Mwanza. Ni kiwanja kikubwa Low Density, kimepimwa na kiko wazi. Pia kina hati tayari. Bei ni poa kabisa. Tuwasiliane kwa simu 0683 088859
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Nahitaji kiwanja Igoma Mwanza, bajeti 1.5 hadi 2 Million(s), Mwenye nacho tuwasiliane tafadhali
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Nauza kiwanja eneo la Busenga, Cocacola Mwanza; eneo lina miguu 20 kwa 37, tayari lina msingi wa nyumba ya kisasa. For serious buyers only. PM
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wadau poleni na majukumu naomba kuwapa taarifa kwa walioko naeneo ya Mwanza kuna eneo linauzwa ambalo lina viwanja 4 vyenye ukubwa wa 15x30 sq meters maeneo ya KISEKE B WILAYA YA ILEMELA. Gari...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nyumba yenye fence na LUKU inauzwa;- NYAMANORO B:- BLOCK J. NO 73. INAPAKANA NA MLIMA WA KAWEKAMO/Masister RC. KAWEKAMO STREET. Ni Airport RD. Simu 0754 302006 or 0783 393921
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Jamani wa Tz nauza kiwanja kipo Nyegezi jijini Mwanza. Mwenye uhitaji anicall kwa 0763_002227
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kwa anayehitaji kiwanja jijini Mwanza. Kina ukubwa wa m 20x20,bei ni Tsh Million tano(5).
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nauza kiwanja 25x26 kipo Buhongwa-Mwanza, kipo karibu na huduma za Jamii! Bei Mil. 4.5 mawasiliano 0655206989 au 0762206989 Maelewano yapo kwa mwenye kuhitaji
0 Reactions
1 Replies
758 Views
Kiwanja kipo Buswelu Mwanza. Ni tambalale. kipo pembeni ya barabara. Kina ukubwa wa 25x23m. Bei ni million moja na laki tatu (Tsh. 1300,000/=). Maelewano yapo. Nipigie kwa 0757078999...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kiwanja kinauzwa kipo BUHONGWA kina ukubwa wa 24x26 bei mil.3.7 maelewano yapo, mawasiliano 0655206989 AU 0762206989
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kiwanja chenye ukubwa wa 24x26 kipo Buhongwa-MWANZA kinauzwa kwa mil.3.7 karibu tufanye biashara@ NB: Mimi siyo dalali ni mmiliki wa kiwanja husika. Mawasiliano 0655206989, 0762206989, 0787929878
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Nyumba Ina vyumba vitatu vya kulala,kimoja ni master, sebule, jiko store, baraza mbili, sliding alluminium windows, gypsum, tiles, system ya maji moto na baridi unafanya kazi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom