Nyumba inauzwa WhiteRose,Sakina.

Ulongupanjala

JF-Expert Member
Apr 9, 2013
8,157
13,379
Habari za leo?

Kuna nyumba inauzwa maeneo ya Whiterose,Sakina-Arusha.

Nyumba ina
Vyumba 4 vya kulala (kimoja self contained)
Public toilet/bathroom
Sebule
Dinning room
Ina parking ya kutosha magari si chini ya magari manne
Ina electric fence
In garden
Ina tiles
Ina title deed
BEI: 170M

Mawasiliano: 0752489529 au ni PM.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom