Dalali wa Mizigo Moshi Mjini.

jembelamkono

JF-Expert Member
Nov 19, 2015
2,733
2,011
Habari za asubuhi wakuu?
Nina gari kubwa (Semi tani 30)zinazotoka Moshi Mjini kuja Dar mara 2 kwa wiki,

Naomba kama kuna dalali au mtu yoyote mwenye mzigo wake unaokuja dar tuwasiliane,bei zangu ni nafuu sana Tsh 30,000 kwa tani,

Mwenye mzigo au anayefahamiana na dalali tafadhali tuwasiliane kwa
0713724242

Shukrani sana.
 
Dahh, kwenye mabasi ya mkoani tunapigwa sana, parcel ya kilo 20 unaweza kulipia hata elfu 15 kumbe ni sawa na mtu aliyelipia nusu tani...loh
 
Dahh, kwenye mabasi ya mkoani tunapigwa sana, parcel ya kilo 20 unaweza kulipia hata elfu 15 kumbe ni sawa na mtu aliyelipia nusu tani...loh
Ni kweli mkuu,wengine wamafanya mpaka 35 kwa tani.
 
Back
Top Bottom