Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habari wakuu, .
0 Reactions
0 Replies
628 Views
TUNACHORA RAMANI ZA NYUMBA ZA KISASA KWA BEI NAFUU SANA WASILIANA NASI KWA SIMU/WHATSAPP 0717 040837/0767 267664 Instagram: nyumba_classic_designs
0 Reactions
5 Replies
10K Views
Shirika la Ndege la Etihad ambalo ni shirika rasmi la ndege la nchi ya Falme za Kiarabu, lenye makao makuu Abudhabi, hivi karibuni lilipanua wigo wa huduma zake jijini Dar es Salaam, ambapo...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kama Tangazo linavyojieleza hapo juu, wale wenye tatizo tajwa hapo juu anaweza akawasiliana na mimi kupitia nambari za simu +255 789 41 95 57. Napatikana mkoa wa pwani pia nina ofisi zangu...
0 Reactions
14 Replies
6K Views
Habari wana jamii forum! Kuna shamba linauzwa liko chamazi mbele ya uwanja wa azam complex Ukubwa ni miguu 60 kwa 70 (eka moja). Bei maelewani liko sehem nzuri! ( plane surface). For more...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakuu.. Heshma zitangulie.. Nimefika hapa Jukwa la matangazo nikiomba usaidizi wenu.. NIna tafuta nyumba; Aina ; One-bedroom apartment Location ; Mbezi beach, Mikocheni, Masasani na...
0 Reactions
3 Replies
987 Views
deleted
0 Reactions
0 Replies
579 Views
Pata Ofa ya domain name za .com pamoja na adsense account kwa bei ya TZS 30,000 Utaunganishiwa iyo domain kwenye blog yako 0679732975
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Waungwana Ninauza engine ya gari yangu, Mitsubishi Pajero Mini. Ni nzima, anayetaka kuiona anitwangie PM au SMS, 0786-019019. Bei yake ni chini ya bei ya soko. Ukienda pale Ilala, Mtaa wa Lindi...
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Habari wadau nyumba hizo hapo chini zinauzwa, zipo katika eneo la mbagala kilungule jijini Dar es salaam . Nyumba zina vyumba vitatu na choo cha ndani kwa kila chumba na eneo la nje lenye ukubwa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Salaam wadau...Nauza Mark X ya 2005.Pearl colour...Iko poa kabisa na inacomprehensive Insurance inaisha mwakani.Good music na sports rims 17 inches. Bei 12m. Karibuni na Kwa mawasiliano zaidi...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari wakuu. Ninatafuta soko la choroko la uhakika au wanunuzi wa choroko wanaopatikana kanda ya ziwa, mimi niko Bariadi na nalima ekari sita za choroko, naomba pia mwenye ujuzi wa bei. Yaani...
0 Reactions
18 Replies
10K Views
kipo maeneo ya mbulu ni HD kimepimwa na kina mawe trip 5 bei 3m maelewano yapo call or sms 0715140001
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Karibu Mkuranga kwa mahitaji ya kiwanja mashamba tena kwa bei nafuu sana,kwa mahitaji ya kujenga sheli za mafuta (petrol station), shule, nyumba za wageni na hotel, wasiliana nami kwa simu no...
1 Reactions
30 Replies
7K Views
Hellow guys.. inahitajika adsense account iliyo fully activated(yenye barua) inahitajika mapema sana..salio la mteja ni sh 45,000 aliye serious anicheki p.m mara moja... thanks
0 Reactions
1 Replies
626 Views
Hello wadau; Kama kuna mdau anaweza pata binzari kavu kuanzia tani 500, sio iliosagwa, naomba tuwasiliane kwa pm kwanza. Kiingereza inaitwa dry turmeric fingers. Kuna soko nimelipata nje...
0 Reactions
0 Replies
865 Views
Habari wana JF. Natafuta site/eneo la kuuza chips hapa town(dsm), mwenye info na habar pls tuwasiliane(0712 332 781 or 0755 368 445) Tutalipana kibigwa.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau naulizia utapatikanaji wa shamba la kufuga kuku, either katika mikoa Dar, Arusha, Moshi, Pwani(Ruvu) Tanga, Moro hata Singida, sehemu moja wapo. Kama lipo mniambie na gharama za kukodi...
2 Reactions
33 Replies
8K Views
Special OFFER! price: 100,000/= ONLY! Pata Digital Camera ufurahie kupiga picha na mpenzi,ndugu,jamaa na marafiki na sherehe mbalalimbali. pia inauwezo mzuri wa ku-record videos -Brand: SONY...
0 Reactions
0 Replies
671 Views
Tangaza Marketing Solutions: Kwa mahitaji ya hostel ya kisasa kwa wanafunzi. Ipo sinza mapambano Chumba double decker kwa wanafunzi wawili tu tshs 100,000/= kodi ya miezi 4(semister) Chumba cha...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Back
Top Bottom