Biashara ya pub inauzwa

Fundi mahiri wa ujenzi

JF-Expert Member
Dec 10, 2012
4,039
2,585
Habari ya leo wana JF,
Kwa yeyote anaehitaji kufungua biashara ya Bar/Pub basi hili bandiko linamfaa.

Ni Pub ambayo bado inafanya kazi hapa Tabata Segerea. Roughly inahitajika kama 5mil Kama uko interested karibu kwa mazungumzo zaidi kwa namba 0655173113.
 
Kwanini inauzwa? Je, ina Financial records zozote tangu ianzishwe? Na je, unaweza kuweka hata picha kidogo?
 
Ngoja nije hapo nichunguze mazingira ya Bar pamoja na mzunguuko wa wateja.
 
Back
Top Bottom