Ruhazwe JR
JF-Expert Member
- Jan 31, 2011
- 3,402
- 924
Wasalamu wana wa jf!
Naomba kuwajukisha wale wrote wanaoitaji nyumba ya kupanga au wake madalali wanao pangisha nyumba....kwamba napangisha nyumba (upande) iliyopo eneo la mbezi africana mitaa ya forest au mita taklibanj 300 kutoka maeneo ya shule ya msingi salala.
Nyumba ina vyumba viwili vya kulala,sebule,choo na jiko.
Bei ni Tshs 300,000 kwa mwezi.Mkataba ni wa kuanzia mwaka 1.
Kwa anayehitaji tafadhali awasiliane na Mimi 0756144386 (bei inaweza kupungua kulingana na tutakavyoelewana)
Kama wewe ni dalali tafadhali kuwa muwazi na ujipambanue kama were ni dalali ili kuweka mipango ambayo haitamuathili mteja.
Karibuni wadau