For a serious buyer,Plot yenye sqm 3345 kipo Dodoma Itiga airport road njia ya kuelekea Singida.
Bei ni mil 150.
Kiwanja kina kila kitu.
Call: 0715 251100.
Nyumba Ina vyumba vitatu vya kulala,kimoja ni master, sebule, jiko store, baraza mbili, sliding alluminium windows, gypsum, tiles, system ya maji moto na baridi unafanya kazi...
Karibu iringa. Gangilonga tarehe 30 april 2016 ukutane na Nabii mtumishi wa Mungu Frank na upate uponyaji wako wa hapo kwa pao na unabii.
Mungu ni muweza wa yote,Lisilowezekana kwa binadamu Kwa...
Yapo kibaha kwa kipofu ..kilomita 4 kutoka morogoro road ..barabara ipo kubwa tu ni mashamba ya familia wanayauza wagawane urithi...n mazur kwa kulima ...kujenga na kufuga na walishamwita surveyor...
Habari wana jamvi? naitwa mkilinga nina ujuzi wa kutengeneza simu ikiwa pamoja na
-mobile repair
-mobile flashing
ninaomba ushilikiano kwa yeyote mahari popote mwenye kutaka kufanya kazi na mimi...
Wadau kama unahitaji blog kwa matumizi ya biashara au matumizi mengine basi usisumbuke. Tunatengeneza blog kwa shilingi elfu kumi tu... 10,000/= na inakuwa na mwonekano wa kisasa.... Pia...
Habari wadau,
Natafuta Vits , iwe clean condition, number iwe kuanzia C.
Ntaongeza dau kama garii ikiwa ina lipa
Nitumie picha via watsapp 0712 507060
Asante...
Huawei bluetooth headsets for making/receiving calls and playing music.
Free your hands with this wireless devices when doing other things eg. Driving, cooking, typing etc.
Brand new in a box...
Nauza original human hair weaves ambazo unaweza kuzipasi, kutong, kuziosha na kuzistyle upendavyo na unahitaji bunda moja tu, pia utaweza letewa ulipo. Zipo za inchi 8 bei elfu 55, za inchi 10 bei...
tigo pesa 240000
mpesa 150000
airtel 95000
zipo active ni kuchukua na kuanza kazi
selcom mashine bei 530000 bado ni mpya na nizile za kisasa kabisa inafanya bills zoteee
serious buyers 0712191251
TRACTOR NA HARVESTER MACHINE INAUNZWA
HARVESTER ipo madhubuti sana na ina hali nzuri,na inafanya kazi vizuri sana.MIL34 TSH
tractor zipo katika hali nzuri MASSEY FERGUSON 178 bei ni milioni 19.5...
Hello dears.
HDNA Elegant-Me,House of fashion is bringing you unique pieces with unique designs...
Statement Necklace for all occasions at an affordable price.
Each piece is unique and classy
Get...
Wakuu kwa wale wanaopenda gari ngumu na zinazodumu muda mrefu basi hii Toyota Hilux ndo inawafaa
Gari ni namba A
Bodi na Engine viko vizuri sana
Ulaji wa mafuta ni wa kawaida,km 10/lita
Aina ya...
Jipatie hard disk 500GB ya laptop internal, pia unaweza kuigeuza external kwa kuweka incloser case
Bei ni 65,000/= Tshs kwa moja, pia ukinunua kuanzia 4 utafanyia 60,000/= Tshs
Mzigo ni mkubwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.