Photocopy machine aina ya canon ir2018 inauzwa kwa bei nafuu kabisa. Ni nzima na ndio inayotumika hapa ofisin kwa sasa. Nataka ninunue kubwa zaidi.
Kwa anaehitaji tuwasiliane: 0753985182
Habari waungwana wote!Ngoja kwanza nianze kwa kutoapole na mihangaiko ya kuzungusha gurudumu la maendeleo kwa wale wanaojitumakila kukicha kwa kutafuta riziki. Sio siri ya kwamba humu ndani wengi...
Wadau habari za Leo.
Natafuta fremu kwa ajiri ya butchery ya nyama Na samaki maeneo kati ya temeke, Kinondoni, mabibo, sinza au kurasini.
Number yangu 0769630209.
Habari wana bodi,
Naomba kujua ni wapi kwa DSM nitapata piki piki zenye matairi manne au matatu kwa ajili ya mizunguko yangu mjini....
Nataka ikiwa mpya au Used sio mbaya.....
(Picha...
Gauni, sketi, blauz, sweta, pensi, suruali, short pens, blauz,tyt, t shert, shati, nk bei ni sh 8000 nakuendelea tunapatikana karume piga namba 0712288700
Unga wa uji
Mchanganyiko
1. Mahindi
2. Karanga
3. Mbegu za maboga
5. Soya
6. Ngano
7. Michele
Kwa tsh 4000 tu per kg
Naderiver kuanzia kilo mbili
Toa oder yako kwa namba hii 0714547830
Hello, Nauza Dell Mashine Ya Kusimama, Na Kioo Chake 17", Mashine Ina Milango Miwili Yote Ya Dvt( Lakin Sio Writter) , Uwezo Wake , Hard Disc Gb 160, Ram Gb 1 Processor Ni 3.2. Bei Ni Lak 2...
Kwa mahitaji ya kurekebisha Computer...kama haiwaki au ipo slow,Ku install Windows xp,7,8,10 au Apple OS.Data Recovery za flash memory cards pamoja na Harddisk.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.