Next time ukiweka tangazo weka na size ya kiwanja na sqm ya nyumba.Nyumba ina vyumba vtatu (1master&2single)sitting room,public toilet,kisima cha maj kipo,umeme unawaka,nymba ipo mita chache kutoka barabara ya lami
Contact 0656 698232
OK Mkuu nashukuru kwa shule ntajitad MkuuMkuu matangazo yako ni kama ya mtu ambaye ndio anaanza kuuza vitu online.
Wewe kila siku unaweka matangazo na kila siku unaulizwa maswali ambayo hauyaweki kwenye tangazo la awali .
Wewe utauzaje kiwanja/nyumba Bila kuwa na specifications zake? Unavyosema nyumba ina vyumba vitatu ni vya size gani? Kuna vyumba vya mita 3 kwa 3 wengine mita 6 kwa 6 be specific.