Bia batta
Member
- Aug 18, 2015
- 66
- 34
Nyumba inauzwa ipo maeneo ya kurasini karibu na baraza la maaskofu.
ukubwa ni square meter 3320, ipo almost mita 150 kutoka baharini.....
All relevants documents ziko available (sio ya urithi ni owner wa property ndie anayeuza).....eneo linafaa kwa both residential na commercial uses as ni eneo lililokwisha endelea na linafaa kwa investments kama hotels, apartments, offices and ICD's (internal container depts).
Kwa maelezo zaidi piga simu No. 0713-480118 au 0785-670214.