Echolima
JF-Expert Member
- Oct 28, 2007
- 3,824
- 2,079
Kamapuni ya kichina inayojishughulisha na madini huko wilayani Kahama,Shinyanga inatafuta Mkalimani wa Lugha ya kichina na kiingereza na itafaa sana kama kiswahili atakuwa anakielewa,Mshahara ni mapatano.
Mwenye fani hiyo tuwasiliane 0754415306 au 0787415306
Nawasilisha.
Mwenye fani hiyo tuwasiliane 0754415306 au 0787415306
Nawasilisha.