Viwanja vilivyopimwa ndani ya proposed Kigamboni City

Kaina

JF-Expert Member
Jul 3, 2015
380
326
Viwanja vilivyopimwa vinauzwa:
PROJECTS ZA KIGAMBONI
HAYAT RESIDENCE:
*Umbali km 23 kutoka Ferry
*Umbali km 10 km kutoka New Kigamboni bridge(daraja jipya la kigamboni)
*Ipo ndani ya Proposed Kigamboni City
*Plots zinaanzia 600sq metres
*Bei ni 30,000Tshs per sq metre
*Barabara za mitaani zimeshachongwa kwa viwango vya TANROADS
*Umeme upo tayari
*Maji yapo
*Near Dar es salaam Zoo
*Near Dege Eco Village

UNAWEZA KULIPA KWA CASH UTALIPA SIO CHINI YA 25% NDANI YA SIKU 7 ZA RESERVATION ALAFU INAYOBAKI UNAWEZA KULIPA NDANI YA MIEZI 3

UNAWEZA KULIPA KWA SOFT LOAN (MKOPO). UTALIPA 20% NDANI YA SIKU 7 ZA RESERVATION INAYOBAKI UNAWEZA KULIPA KWA INSTALLMENTS KUANZIA MWAKA MMOJA HADI MWAKA MMOJA NA NUSU

VIWANJA VYOTE VIMEPIMWA NA VIPO NDANI YA RAMANI.

UTAPATA HATI YAKO NDANI YA SIKU 90.
KWA UFAFANUZI ZAIDI JUU YA BEI NA INSTALLMENTS, KUANGALIA RAMANI NA KUCHAGUA KIWANJA AU KUFIKA KABISA KWENYE VIWANJA NA MSAADA WA KUFANIKISHA MANUNUZI NIPIGIE 0712016405. Unaweza pia kupanga appointment na mimi ukaja ofisini kwetu au nikaja hapo ulipo. Wape ujumbe huu wengine pia ili nikjia nionane na nyote.

KUWEKEZA/KUMILIKI ARDHI NDO UJANJA KARNE HII. Mbarikiwe
Kuna viwanja pia vya Kigamboni vya bei nafuu na vya Kibaha pia
 
Viwanja vingine vilivyopimwa vya Kigamboni:

AFRICAN PALMS RESIDENCE:
*Umbali km 27 kutoka Ferry
*Umbali km 12 km kutoka New Kigamboni bridge(daraja jipya la kigamboni)
*Straight kutoka daraja jipya
*Viwanja vipo main road
*Plots zinaanzia 700sq metres
*Bei ni 20,000Tshs per sq metre
*Barabara za mitaani zimeshachongwa kwa viwango vya TANROADS
*Umeme upo tayari
*Maji yapo
*Near Dar es salaam Zoo
*Kutoka Ferry tunaingilia Kibada to Mwasonga

UNAWEZA KULIPA KWA CASH UTALIPA SIO CHINI YA 25% NDANI YA SIKU 7 ZA RESERVATION ALAFU INAYOBAKI UNAWEZA KULIPA NDANI YA MIEZI 3

UNAWEZA KULIPA KWA SOFT LOAN (MKOPO). UTALIPA 20% NDANI YA SIKU 7 ZA RESERVATION INAYOBAKI UNAWEZA KULIPA KWA INSTALLMENTS KUANZIA MWAKA MMOJA HADI MWAKA MMOJA NA NUSU

VIWANJA VYOTE VIMEPIMWA NA VIPO NDANI YA RAMANI. UTAPATA HATI YAKO NDANI YA SIKU 90.

KWA UFAFANUZI ZAIDI JUU YA BEI NA INSTALLMENTS, KUANGALIA RAMANI NA KUCHAGUA KIWANJA AU KUFIKA KABISA KWENYE VIWANJA NA MSAADA WA KUFANIKISHA MANUNUZI NIPIGIE 0712016405. Unaweza pia kupanga appointment na mimi ukaja ofisini kwetu au nikaja hapo ulipo.
Wape ujumbe huu wengine pia ili nikjia nionane na nyote. KUMILIKI/KUWEKEZA KATIKA ARDHI NDO UJANJA KARNE HII. Mbarikiwe
 
Viwanja vya bei nafuu zaidi ndani ya Proposed Kigamboni City:

RUBY ESTATE PROJECT:

*Umbali km 41 kutoka Ferry
*Umbali km 27 km kutoka New Kigamboni bridge(daraja jipya la kigamboni)
*Plots zinaanzia 800sq metres
*Bei ni 10,000Tshs per sq metre (For Residential plots)
*Bei ni 11,000Tshs per sq metre (For Commercial plots)
*Barabara za mitaani zimeshachongwa kwa viwango vya TANROADS
*Umeme upo tayari
*Maji yapo
*Via Kibada-Dar Zoo-Mwasonga
*Karibu na Real Madrid City Soccer Academy
*Karibu na Nyati Cement
*Karibu na viwanja/plots vya Manispaa ya Temeke

UNAWEZA KULIPA KWA CASH UTALIPA SIO CHINI YA 25% NDANI YA SIKU 7 ZA RESERVATION ALAFU INAYOBAKI UNAWEZA KULIPA NDANI YA MIEZI 3

UNAWEZA KULIPA KWA SOFT LOAN (MKOPO). UTALIPA 20% NDANI YA SIKU 7 ZA RESERVATION INAYOBAKI UNAWEZA KULIPA KWA INSTALLMENTS KUANZIA MWAKA MMOJA HADI MWAKA MMOJA NA NUSU

VIWANJA VYOTE VIMEPIMWA NA VIPO NDANI YA RAMANI.

UTAPATA HATI YAKO NDANI YA SIKU 90.
KWA UFAFANUZI ZAIDI JUU YA BEI NA INSTALLMENTS,

KUANGALIA RAMANI NA KUCHAGUA KIWANJA AU KUFIKA KABISA KWENYE VIWANJA NA MSAADA WA KUFANIKISHA MANUNUZI NIPIGIE 0712016405. Unaweza pia kupanga appointment na mimi ukaja ofisini kwetu au nikaja hapo ulipo. Wape ujumbe huu wengine pia ili nikjia nionane na nyote.

KUMILIKI/KUWEKEZA KATIKA ARDHI NDO UJANJA KARNE HII. Mbarikiwe
 
Viwanja vilivyopimwa bei nafuu Kibaha

PROJECTS ZA KIBAHA

BOKOTIMIZA PROJECT
*30 km kutoka Ubungo
*6.5 km from Morogoro Road
*Nyuma ya Tumbi Hospital
*Karibu na Shirika la Elimu
*Not far from New Muhimbili University
*Karibu na Bandari kavu mpya
*Vimepitiwa na mradi wa barabara 8 mpaka Chalinze
*Price 12,000 per sqm
*Plots zinaanzia 450sq metres
*Barabara za mitaani zimeshachongwa kwa viwango vya TANROADS
*Umeme upo tayari
*Maji yapo

UNAWEZA KULIPA KWA CASH UTALIPA SIO CHINI YA 25% NDANI YA SIKU 7 ZA RESERVATION ALAFU INAYOBAKI UNAWEZA KULIPA NDANI YA MIEZI 3

UNAWEZA KULIPA KWA SOFT LOAN (MKOPO). UTALIPA 20% NDANI YA SIKU 7 ZA RESERVATION INAYOBAKI UNAWEZA KULIPA KWA INSTALLMENTS KUANZIA MWAKA MMOJA HADI MWAKA MMOJA NA NUSU

VIWANJA VYOTE VIMEPIMWA NA VIPO NDANI YA RAMANI.

UTAPATA HATI YAKO NDANI YA SIKU 90.
KWA UFAFANUZI ZAIDI JUU YA BEI NA INSTALLMENTS, KUANGALIA RAMANI NA KUCHAGUA KIWANJA AU KUFIKA KABISA KWENYE VIWANJA NA MSAADA WA KUFANIKISHA MANUNUZI NIPIGIE 0712016405. Unaweza pia kupanga appointment na mimi ukaja ofisini kwetu au nikaja hapo ulipo. Wape ujumbe huu wengine pia ili nikjia nionane na nyote.

KUMILIKI/KUWEKEZA KATIKA ARDHI NDO UJANJA KARNE HII. Mbarikiwe

*Viwanja vya Kigamboni bado vipo pia
 
Ukitaka kiwanja cha skwea mita 1200 ambayo ndio angalau utapata na packing itakulazimu uzidishe mara 30,000/ inamaa uwe shilingi milioni thelathini na sita (36,000,000)

Mkuu hata Mbutu na Dege ambako ndiko kwenye viwanja ghali kwa sasa umewafunika, unawaibia kweuuuuupe!!!!
 
Boss 1200sq sio kiwanja cha kujenga na kupata angalau parking. Ni eneo kubwa sana mkuu. Hiyo ni zaidi ya robo eka.
 
Alafu mboma mnakomalia hiyo ya 30,000? Bei zipo tofauti kulingana na quality za kiwanja. Sasa we ukitaka cha bei kubwa unalalamika nini? Kwani vya 10,000 hamvioni hapo? Mtu unajiangalia uwezo wako.
 
Viwanja vilivyopimwa vinauzwa:
PROJECTS ZA KIGAMBONI
HAYAT RESIDENCE:
*Umbali km 23 kutoka Ferry
*Umbali km 10 km kutoka New Kigamboni bridge(daraja jipya la kigamboni)
*Ipo ndani ya Proposed Kigamboni City
*Plots zinaanzia 600sq metres
*Bei ni 30,000Tshs per sq metre
*Barabara za mitaani zimeshachongwa kwa viwango vya TANROADS
*Umeme upo tayari
*Maji yapo
*Near Dar es salaam Zoo
*Near Dege Eco Village

UNAWEZA KULIPA KWA CASH UTALIPA SIO CHINI YA 25% NDANI YA SIKU 7 ZA RESERVATION ALAFU INAYOBAKI UNAWEZA KULIPA NDANI YA MIEZI 3

UNAWEZA KULIPA KWA SOFT LOAN (MKOPO). UTALIPA 20% NDANI YA SIKU 7 ZA RESERVATION INAYOBAKI UNAWEZA KULIPA KWA INSTALLMENTS KUANZIA MWAKA MMOJA HADI MWAKA MMOJA NA NUSU

VIWANJA VYOTE VIMEPIMWA NA VIPO NDANI YA RAMANI.

UTAPATA HATI YAKO NDANI YA SIKU 90.
KWA UFAFANUZI ZAIDI JUU YA BEI NA INSTALLMENTS, KUANGALIA RAMANI NA KUCHAGUA KIWANJA AU KUFIKA KABISA KWENYE VIWANJA NA MSAADA WA KUFANIKISHA MANUNUZI NIPIGIE 0712016405. Unaweza pia kupanga appointment na mimi ukaja ofisini kwetu au nikaja hapo ulipo. Wape ujumbe huu wengine pia ili nikjia nionane na nyote.

KUWEKEZA/KUMILIKI ARDHI NDO UJANJA KARNE HII. Mbarikiwe
Kuna viwanja pia vya Kigamboni vya bei nafuu na vya Kibaha pia
Post ya kwanza ndio ina Hiyo elfu 30.
 
Manispaa ya Temeke wanauza shilling 12,000/= kwa 1 sgm na PSPF wanauza shilling 8000 kwa 1 sgm, ni kwa nini mnapenda kuibia maskini wenzenu? hii ni roho mbaya na ubinafsi uliyopitiliza. ulaaniwe duniani mpaka mbinguni.
 
Duh mkuu weye kiboko wa kulaani.
Hiyo ni biashara.Thamani ya kitu chochote mnunuzi ndio muamuzi.
Mfano Temeke 1sqm Tsh 12,000 wewe nadi kwa 12,510 upate faida Tsh510 kwa sqm.PSPF 1sqm Tsh 8000 wewe fanya Tsh 8125.
Si basi Na utabarikiwa sana tu
 
Yes mkuu. Kuna vya 10,000 pia kwa Kigamboni. Kibaha vipo hadi vya 6,000

kwa staili hii ni wazi kuwa maskini wataendelea kuishi maeneo holela yasiyopimwa wala kuwekewa huduma muhimu za jamii.
 
Mi nasubiri kidogo.. Magu anavyoendelea kubana wapigaji ndivyo ardhi itakavyokua inarudi kwenye bei halali... Sasa hivi bado watu wana hela za wizi... huwezi kutaja 20,000/= kwa sqm kama vile unaomba maji ya kunywa bana! smh
 
Manispaa ya Temeke wanauza shilling 12,000/= kwa 1 sgm na PSPF wanauza shilling 8000 kwa 1 sgm, ni kwa nini mnapenda kuibia maskini wenzenu? hii ni roho mbaya na ubinafsi uliyopitiliza. ulaaniwe duniani mpaka mbinguni.
Sehem gani wanauza bei hiyo? Maana hata sisi tuna hadi vya 6,000. Alafu unatakiwa uue vuwanja vyetu na vya manispaa tofauti quality. We develop plots before sale manispaa wanauza hivyo hivyo ili mradi vipo kwenye ramani. Ukiona viwanja vyetu huwez fananisha na vya manispaa. Na vya manuspaa havina sifa zote bilizotaja hapo juu. Sisi kwetu kama hakuna maji tunafanya drilling wenyewe supply ya maji inakuwepo kwa wenye viwanja, tunavuta umeme, tunachonga barabara za mitaa(streets) kwa viwango vya TANROADS, etc. Sasa ukitegemea bei yetu itakuwa sawa na ya manispaa unakosea. On top of that viwanja vyetu ambavyo vipo karibu na hivyo vya manispaa ya TMK ambavyo ni RUBY ESTATE (soma maelezo yake hapo juu) tubauza 10,000 kwa residential areas na 11,000 kwa commercial areas. Manispaa wanauza 12,000. Nani anauza bei nafuu?

Nadhani ulidhani lazima vyote viuzwe bei hiyo! Hivyo vya 20,000 na 30,000 havipo huko mkuu. Ahsante kwa ku pose chalenge yako maana nimekuelewesha vizuri sasa.
 
Kwa mtindo huu na hayo magharama yenu, skwata bado inatuhusu 97%ya waTanzania.
Kibaha kuna vya 6,000 mkuu. Unapata kiwanja cha million 3. Usioagawe na bei za Kigamboni kaka. We hangaika na uwezo wako. Achana na hao wanaotaka vya 30,000. Acha kunung'unika pima uwezo wako mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom