Jipatie kipato kwa matumizi ya muda wa hewani na kushirikisha wengine

Kumhama

Member
Oct 26, 2012
19
2
Ni ukweli usiopingika kuwa karibu Watanzania million 35 wanamiliki simu. Hali hii imepelekea kampuni za mitandao ya simu kuuza muda wa hewani unaokadiriwa kufikia billion 49 kwa siku. Watu walio wengi wanatumia wastani wa sh. 500 kila siku kama muda wa maongezi.

Kuna fursa mpya kwa ajili yako ambayo naamini kama utaamua kuifanya kila siku itakuwezesha kupata kipato cha ziada na kukuwezesha kuishi maisha ya ndoto yako.

Ni dhahiri kwamba biashara ya muda wa hewani ni biashara inayohitajika sana kila mahali kiasi kwamba unapofanya biashara kama hii utakuwa na uwezo wa kuuza kila siku.

Kupitia fursa hii, katika kila muda wa hewani utakaotumia kampuni itakulipa na kila utakapo washirikisha wengine kuhusu fursa hii kampuni itakulipa. Lakini pia kupitia muda wa hewani utakaotumiwa na wale uliowashirikisha kampuni itakulipa.

Fursa hii haihitaji mtaji mkubwa wala haihitaji kuwa na duka la kuuzia bidhaa. Ni biashara rahisi kufanywa na mtu yeyote hata kama hana elimu kubwa. Elimu ya darasa la saba inatosha kufanya biashara hii.

Kama ungependa kujifunza zaid kuhusu namna biashara inavyofanyika tuwasiliane kwa namba hizi za WhatsApp + 255782274930 au andika namba yako ya simu hapa chini tutakupigia.

Tutakueleimisha bure na kama utakuwa tayari tutafanya kazi pamoja.

"Mafanikio hayaokotwi bali hutengenzwa"

Chukua hatua...
 
Biashara pumbafu sana hii, watu msitrgemee mteremko, pigs kazi utoe jashi ndio upate pesa
 
Biashara pumbafu sana hii, watu msitrgemee mteremko, pigs kazi utoe jashi ndio upate pesa
Ni vizuri ukafafanua kivipi hii ni pumbafu. Hakuna mafanikio bila kufanya kazi. Lazima ufanye kazi ndio ufanikiwe. Fursa hii inakutaka kufanya kazi. Acha kupotosha watu.

Kama hujui ni vizuri ukajifunza au ukauliza ukaeleweshwa. Karibu kama ungependa kujifunza zaid

2bd426646cdd39aada34e4e292496e70.jpg
 
Forever living na Rifaro africa ivi hawa ni ndugu?
Hapana hawa sio ndugu. Ni tofauti sana. Forever Living anahusika na uuzaji wa virutubisho vya mwili hali Rifaro ni wakala wa kuuza muda wa hewani. Forever Living ni Kampuni ya Kimarekani hali Rifaro ni ya Kitanzania.

Lakini kampuni zote hizi zinatumia mfumo unaofanana wa kusambaza bidhaa zao, yaani mfumo wa mtandao au mfumo wa kushirikishana. Kwa maelekezo zaid tuwasiliane kwa namba 0782174930.
 
Back
Top Bottom