Hello wakuu JF
Natafuta fundi stadi wa mbao, tufanye kazi ya kutengeneza kwa kutumia mbao ya mninga au mkongo, kitchen cabinets pia kazi ya ku design walk-in-closet kwa kuweka shelves, drawers, hangers n.k. Tafadhali uni PM.
Kazi ipo Dar
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.