That's about 14B...! Hiyo bei ni sahihi kweli?Sheli ina pump 4 kilwa road
0656 698232
Ndugu yangu acha utani sijafikia level hiyoYap if ur interested njoo mezan documents zipo tufanye biashara
Ndugu yangu acha utani sijafikia level hiyo
Mkuu hizo ni dollar za Zimbabwe au USA?Sheli ina pump 4 kilwa road
0656 698232
Hahhahahaaaa nikiwa na hiyo midorali yote huyo sitaki stress tena! Naenda zangu kununua tunguli za kutosha basi
umebeep jamaa kapiga nenda kachukue shell hiyo bei ya kutupa kabisa
Embu tufanye cost break down. Yani gharama ya kiwanja, yale matenki aridhini, pampu na ile shade kwa ajili ya kivuli ukiweka na ka ghorofa ka moja kwa ajili ya ofisi vinafika bilioni kumi na mbili? Mmmh! Hii cost inflation ni zaidi hata ya mkataba wa Lugumi (if that is the case)...
Saf Mkuu,ww kwel unazijua biashara nlifanya hivyo ilkua share na jukwaa kama kuna mwanajukwaa ana MTU anaitaj bac tupate rizik wote na mwnajukwaa sasa naona mambo ya lugum mara tupge hesabu,naomba tutofautshe siasa na biashara...Mkuu saf sanaBiashara kubwa kama hizo huwa hazifanywi kienyeji namna hii
ha ha ha ha ukipata hiyo MIHERA njoo nitakuuzia pia HISA katika Mzimu wa kolelo sasa hivi nauuza tu ukija na hiyo midoraHahhahahaaaa nikiwa na hiyo midorali yote huyo sitaki stress tena! Naenda zangu kununua tunguli za kutosha basi
Miaka michache iliyopita niliwahi kufanya kazi kwa mtu mmoja mtaji wake haukua hata na bilioni 5 lakini ana sheli nyingi sana na anaagiza mafuta mwenyewe. Leo sheli moja iwe bilioni 15? Haiwezekani.Embu tufanye cost break down. Yani gharama ya kiwanja, yale matenki aridhini, pampu na ile shade kwa ajili ya kivuli ukiweka na ka ghorofa ka moja kwa ajili ya ofisi vinafika bilioni kumi na mbili? Mmmh! Hii cost inflation ni zaidi hata ya mkataba wa Lugumi (if that is the case)...
Mkuu kuna maneno unaweza "kutohoa". Ukienda India kutoa photocopy wanaita ku-Xerox. Naamini wajua Xerox ni nini katika printing na photocopying.SHELL bado ipo TZ.