Nzuri, kazi yake ni nini namie nitafute teh
Ni za kuweka nini mpendwa sijawahi kuziona kabla.... Au mikate tehHizi zinaitwa FPO CRATES
Ni za kuweka nini mpendwa sijawahi kuziona kabla.... Au mikate teh
Ha ha ha ahsante, pole kwa kukuchoshaEve -Basket inabeba vitu vingi inategemea na matumizi yako !! Me nataka kuweka mayai teh teh ,, ila na idea yako ya kuweka Mikate nimeipenda naifanyia kazi ....
nenda Nakumat Mlimani city zipo
Ha ha ha ahsante, pole kwa kukuchosha
Hizi baskets ni ndogo sana. Kama unavyoziona hapo unaweza kupennyeza mkono ya chini ikiwa imekaliwa na nyengine juu. Ni kuwekea vitu vidogo vidogo kama bolts, nuts, etcNi za kuweka nini mpendwa sijawahi kuziona kabla.... Au mikate teh