Gari inahitajika fasta "Harrier"

Gari inahitajika fasta "Harrier"

born again pagan

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2014
Posts
2,333
Reaction score
1,499
Wakuu habari za majukumu.

Bila ya kuchelewa wala nini,naomba tujikite kwenye mada hapo juu.

Harrier yenye specs zifuatazo inahitajika

1: colour "black or silver"
2: transimission "auto"
3: cc "angalau 2130"
4: mileage "isizidi 100,000"
5:Right hand
6: isiwe imewahi kupata ajali
more info njoo pm au weka vitu hapahapa adharani.

Picha muhimu

Nawasilisha
 
Mkuu unataka old, middle au new model??
 
Wakuu kimya,hizi pesa nitazitwanga ooooohh, nyie leteni maskhara tu.

Haya mkuje huku
 
Wakuu habari za majukumu.

Bila ya kuchelewa wala nini,naomba tujikite kwenye mada hapo juu.

Harrier yenye specs zifuatazo inahitajika

1: colour "black or silver"
2: transimission "auto"
3: cc "angalau 2130"
4: mileage "isizidi 100,000"
5:Right hand
6: isiwe imewahi kupata ajali
more info njoo pm au weka vitu hapahapa adharani.

Picha muhimu

Nawasilisha
Kuna jamaa anayo rangi gold metalic, 2.9cc milage 130 or so
 
15m unaona ndogo?

hii kwa 15??? hata ushuru tu haitoshi
BF526872_9e5aa4.jpg
 
Kama unayo 30 leta nikupe mimi km 60000tu mupyaaaa
 
Nenda kupatana utapata..ila kwa hiyo bei utapata zile za zamani mkuu
 
Tuwe serious,cc 2150,mileage isizidi 100,000,Harriervya mwaka 2001 namba C akose kwa mil.14???? Kweli???Fanyeni masihars jamaa anywee pombe hizo hela,hahahahaaaa
 
Tuwe serious,cc 2150,mileage isizidi 100,000,Harriervya mwaka 2001 namba C akose kwa mil.14???? Kweli???Fanyeni masihars jamaa anywee pombe hizo hela,hahahahaaaa

Yeye amesema ataka harrier second generation, unaijua harrier second generatio??
 
Back
Top Bottom