Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Simu ni mpya na ipo kwenye hali nzuri mwenye kuhitaji ani pm
0 Reactions
0 Replies
757 Views
Thread deleted by author
0 Reactions
0 Replies
577 Views
Fremu iliyopo Msasani kimweri avenue Opposite NMB Bank Yenye ukubwa wa kutosha mini supermarket Ina full air condition n.k Inapangishwa kwa USD $ 1,200/= kwa mwezi. Kwa mawasiliano 0657131366
0 Reactions
0 Replies
607 Views
Naomba kujua kwa wanaofahamu maeneo yanayofaa kwa kilimo cha bamia yya kukodi naomba kujua na bei mm nipo dar
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nauza shamba lenye ukubwa wa heka sita(6) zilizo kaa pamoja .Mazingira ni mazuri sana .Kinafaa kwa shule au hotel .Kipo MAJI YA CHAI .Umbali ni KM 2.5 kutoka barabara ya moshi arusha na KM 28...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Karibuni kwa perfume za kiume nzuri na zaukwel bei kuanzia 47,000 mpaka 79,000 weka oda yako sasa. Ukihitaji kupata punguzo pia karibu utaelekezwa. Nitafute kwa whatsapp/ text/ call +255 (0) 717...
2 Reactions
12 Replies
6K Views
Simi tajwa hapo juu inauzwa Bei ni 130000/= tu Imetumika mwezi mmoja Unapewa kila kitu chake. Kwa wanunuzi tafadhari tuwasiliane 0716863406.
0 Reactions
2 Replies
815 Views
Naweza kumpata fundi wapi kwa gharama nafuu , kama ni kioo na touch inagharimu shilingi ngapi? Msaada kwenye tuta
0 Reactions
2 Replies
741 Views
Habari wadau! Kwa wale mnaotaka kusajili kampuni zilizokuwa 'limited by shares' karibuni. Nina utaalamu na masuala hayo ya uandishi wa vitabu hivi. Nakuuzia wewe mwenyewe utaiginga muhuri kwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kiwanja kina ukubwa wa 35 kwa 25, kina nyumba ya matofali ya block(rum 2 kawaida 1 self,jiko na public toilet ndani) iliyoishia kwenye renta, kipo Morogoro(Bigwa Misongeni). Bei ni 14m na sihitaji...
0 Reactions
0 Replies
755 Views
PHOTOCOPY MACHINE AINA ZA KYOCERA ,RICOH .TUNAUZA KWA BEI POA. PIA TUNAFUNGA NA KUFANYA MAINTENANCE, TECHNICAL ASSISTANCE. CONTACT. WILFRED EDWARD NYANGILA MOB.+255 719 603040 EMAIL...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
photocopy aina za kyocera na ricoh zinauzwa bei nzuri sana .pia tutakufungia. piga simu no. +255 719 603040
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Ndugu zanguni nahitaji msaada nataka kufanya biashara ya simu za mkononi brands hasa za Tecno zile za mtu wa kawaida nikiwa na maana ya simu ambazo sio smart. Hivyo niombe msaada ni maduka gani...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Deleted
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Kama unahitaji, Wasiliana nasi kwa 0716 777 300. Tunakuletea popote pale!! Sema tu unahitaji ipi!
1 Reactions
4 Replies
6K Views
Natafuta Android 5.1 tablets brand nzuri.Nahitaji kama 15 in total with good memory. where can I get genuine tablets and at what price. I'm reached at damax@gmx.com or nat867@gmail.com
0 Reactions
0 Replies
630 Views
Nipo Arusha kwa anaye uza Mashine ya kufulia kwa domestic use anijuliahe
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wakuu, nina gari aina ya Honda CR-V ya mwaka 1999 nauza kwa sh 7.5M. Gari ni Automatic na ipo katika hali nzuri, imetembea umbali wa Km 169,000 na ina insurance na toad licence mpaka...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari wadau, Natafuta dereva kwa ajali ya familia; 1. Jinsia ya kike 2. Awe mkazi wa Dar es Salaam hasa maeneo ya sinza, kijitonyama, Kinondoni, Mwenge. 3. Awe na leseni halali ya kuendesha...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
hello there kama una website iliyopotea hewani ghafla then nipm.....vile vile narudisha password za web admin zilizosahaulika na kupotea......nipm or text 0654262419
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Back
Top Bottom