Natafuta mashine bora ya kuangua mayai

mwenyenacho

Member
Sep 23, 2013
86
65
Naomba kujua ni wapi naweza pata mashne bora ya kuangua mayai. Na gharama zake kulingana na idadi ya mayai.
 
YUPO RAFIKIANGU ANATENGENEZA (ANAZIUNDA) NA YEYE PIA ANATOTOLESHA NITAFUTE NIKUTUMIE NAMBA UONGEE NAE. 0784488854
 
Back
Top Bottom