Kiwanja (kina hati ) kinauzwa Dodoma

Chiwaso

JF-Expert Member
Oct 21, 2009
5,726
3,762
Habari wana JF,

Kiwanja kinauzwa, kipo njia ya kwenda Iringa maeneo ya CHIDACHI(Chidachi South).

Ni kiwanja cha pili kutoa barabara kuu ya Dodoma-Iringa. Ni Kizuri kwa makazi na biashara. Kimepimwa na kina hati(Title). Eneo lake lina ukubwa wa 941sqm.

Huduma za maji, umeme, barabara zinapatikana. Bei ni 8.7mil(Negotiable) ambayo unaweza kulipa kwa awamu. Kwa mawasiliano piga 0715 581426.

images
upload_2016-6-8_10-53-32.jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom