Mr Mikazo JF-Expert Member May 26, 2016 1,586 794 Jun 8, 2016 #1 Kuna sim nataka ninunue samsung j 1 kwa anaeijua au aliewai kuitumia anijuze ipo vipi hii
Tundapori JF-Expert Member Aug 12, 2007 649 274 Jun 8, 2016 #2 Nunua simu ya Tecno ndiyo kiboko ya simu nyingi mkuu, achana na Samsung.