Nauza kiwanja kigamboni

tondoli

JF-Expert Member
Apr 24, 2013
207
51
Habari ndugu zangu, nauza kiwanja chenye ukubwa wa ekari moja,kipo kigamboni Mwasonga opposite na sekandary ya kisalawe B. Ni cha kwangu mwenyewe,nauza kwakuwa ninashida ya ADA ya masomo,hakuna hati ila kina document za serikali za mitaa. Ni sh ml 16 tu. Tafadhali kama unaweza kukinunua naomba tuwasiliane kwa namba hii 0712293766. Nakuhakikishia mm cyo tapeli,ni mtumishi wa umma na ukitaka ninakukaribisha ofisini kwangu. Asanteni.Au email:eek:scarbunge@gmail Gmail.com.
 
Mwasonga mkuu M16??nina viwanja vingi sana huko najuwa bei zake ila mwenyezi mungu akuongoze uweze kupata mnunuzi uweze kupata hela za ADA
 
Mwasonga mkuu M16??nina viwanja vingi sana huko najuwa bei zake ila mwenyezi mungu akuongoze uweze kupata mnunuzi uweze kupata hela za ADA
Dah! Kwa kawaida ekari moja unauza sh ngapi huko mwasonga MKUU??
 
Wala sitoweza kusema public ndugu yangu me sio mtu wa kuharibu biashara za watu napenda mafanikio ya mwenzangu so mkuu naamini utafanikiwa tu lazima....sema ile barabara wangetengeneza kutoa vumbi aisee kule kungekuwa powa sanaaa....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom