KITUO CHA MAFUTA KINAUNZWA

hassara

Member
Jan 27, 2016
47
3
KITUO KIPO NJIA YA MLANDIZI KUTOKEA BAGAMOYO BARABARA IPO KATIKA HARAKATI ZA KUTIWA LAMI..BARABARA HIYO YOTE HAINA HUDUMA HIYO YA MAFUTA TAKRIBANI KM30..KITUO KIMEKAMILIKA KWA TAKRIBANI ASILIMIA 85 UKITAKA PUMP NAZO ZIPO BADO KUFUNGWA TU..
BEI NI RAHISI TU.. MIL 220..
WAHI UWEKEZAJI WA KUDUMU HUU..
NAKARIBISHA DALALI..
 

Attachments

  • P4240008.JPG
    P4240008.JPG
    81.1 KB · Views: 34
  • P4240011.JPG
    P4240011.JPG
    168 KB · Views: 26
  • P4240015.JPG
    P4240015.JPG
    145 KB · Views: 28
  • P4240018.JPG
    P4240018.JPG
    199.9 KB · Views: 29
  • P4240030.JPG
    P4240030.JPG
    119.7 KB · Views: 26
  • P4240039.JPG
    P4240039.JPG
    146.5 KB · Views: 28
Back
Top Bottom