Nauza panasonic video camera

43s4all

Member
Aug 8, 2009
93
14
Panasonic HDC-HS300. 3mos
1920 fullHD.
Inatumea HDD (120GB) ipo katika hali nzuri kabisa na inafanya kazi kama unavyoona katika pictures ipo na external mic, bag,2 batteries na original box .
ipo uk ninaweza kuituma bongo.
Bei ni laki 6.
1465391843463.jpg
1465391853037.jpg
1465391860567.jpg
1465391867597.jpg
1465391872287.jpg
1465391876477.jpg
1465391880559.jpg
1465391884869.jpg
 
Mimi naitamani niko Seychelles. Unaweza kunitumia kabla ya Malipo? Maana kununua kitu cash bila ya kukiona hasa electronic device very risk
 
Back
Top Bottom