KUBADILISHA RAV 4 YA 1998 NA IST

HAKUNAGA

JF-Expert Member
Jan 3, 2012
301
72
Wakuu nna Toyota RAV 4 ya mwaka 1998 nataka nibadilishane na mtu mwenye Toyota IST ya mwaka (2000-2003), kwa mwenye uhitaji huo tafadhali. Aidha kulingana na utofauti wa bei ntahitaji kuongezewa fedha kidogo ili kufidia hiyo gap.
 
Toa specifications za gari yako kwanza na inahali gani..tupia picha kama hujaja kutania
 
Back
Top Bottom