Jamany watu wangu wa nguvu naitwa mwalimu Mahamba nipo manispaa ya Tabora idara sekondari ,natafuta MTU wa kubadilishana naye kituo cha kazi mm nije busokelo na yy aje tabora,naomba kama kuna MTU...
Wakuu amani iwe nanyi. Kama tittle invyoonoesha. Nahitaji kukodi fuso ya tani 10 kwa ajili ya kubebea bidhaa ya unga wa mahindi mkoa wa marogoro na Iringa. Nikikabidhiwa gari hiyo nitalipa hesabu...
Habari wanaJF natafuta mtaalamu wa Tally Accounting Package anifanyie connection, anitengeneze chart of accounts na nimuulize kuhusu some features. Naombeni mnisaidie.
Wakuu, kwa wale Wanaohitaji Spanish tiles orijino, kwa bei che, mzigo unapatikana wa tiles ya 45 X 45 cm, red paste. Square metre ni vigae tano. Square metre inaanza @tsh 35000, bei inapungua...
Mie ni kijana mwenye miaka 27,natafuta chumba na sebule vya kupanga maeneo yafuatayo ndani ya Mwanza,
》 CCM kirumba
》Kirumba police
》 Mabatini (kusiko na mafuriko)
》Malimbe au SAUT
》Mwaloni
》 Na...
WHY BUSINESS PLAN FOR YOUR INVESTMENT? As KIMI DEVELOPMENT CONSULT LTD, we bring you atleast FOUR among many reasons why your Business idea or an investment needs a Business plan and also WHO...
Kama unahitaji kuwa na account za whatsapp 2 kwa kutumia kwenye simu moja kwa namba hiyo hiyo uitumiayo au nyingine (simu ya dabo line). Nitafute nikuwekee. Tsh. 5,000
Mawasiliano: 0655-659-115...
Mwenye Uhitaji wa Addressable Ionisation Smoke Detectors na Heat Detectors
zinatumia apollo protocols
MAKER:SHIELD UK
COMPATIBILITY:Any Addressable Fire alarm and addressable Fire Suppression...
Mimi ni mfanyabiashara wa Electronics hapa Dodoma nilikuwa nahitaji kujua mambo yafuatayo kuhusu mkopo
1.Taasisi ambayo naweza pata mkopo wa kama milioni 5
2.Natakiwa niwe na nn kama mdhamana wa...
Wakuu habarini.
Nimekuwa mpenzi wa game za fifa hasa hii fifa 14, laptop nliyokuwa nikitumia imeharibika.
naomba km una laptop min au yeyote ile yenye sifa hizi nitafute nkupe hela bajeti yangu...
Habari wanaJF.
Ninaomba msaada wa mahali pa kuyapata Mashuka ya Uganda na Pakistan hapa Tanzania kwa bei ya jumla.
Au kama kuna mtu anaushauri mzuri wa jinsi ya kufanya biashara ya mashuka...