Naweza pata wapi mkopo nafuu wa biashara?

Naweza pata wapi mkopo nafuu wa biashara?

Mkwere Sumbawanga

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2015
Posts
753
Reaction score
670
Mimi ni mfanyabiashara wa Electronics hapa Dodoma nilikuwa nahitaji kujua mambo yafuatayo kuhusu mkopo
1.Taasisi ambayo naweza pata mkopo wa kama milioni 5
2.Natakiwa niwe na nn kama mdhamana wa mm kupewa mkopo currently nina hati ya kiwanja ila kiwanja hicho hakipo dom

Naombeni mawazo yenu wakuu
 
Million 5 nenda ACCESS BANK.ila hakikisha una leseni na TIN NO,na wadhamini wawili wenye biashara
 
Hati ya nyumba/kiwanja usikose..yaani sehemu yoyote utakayoenda kukopa kuanzia milion moja kwenda juu lazma vitu hivyo,ila chini ya hapo hauhitaji kuwa navyo zaidi tu ya wadhamini wawili wwnye biashara
hivi hati ya kiwanja ni lazima iwe na jina langu, kwa mfano uko Dodoma unaweza tumia hati ya kiwanja kilichopo arusha?
 
Kinachohitajika ni dhamana!!location is just something else! Kama una Hati ya kiwanja/nyumba basi. You have a good start,nicheki inbox Nikupe mwongozo.

Ila mkuu umejiridhisha kuwa biashara yako inahitaji hiyo fedha na ukiipata zitakusaidia kuongeza.kipato? Je umepiga hesabu na kusoma soko vizuri na kugundua ni kipi kimekosekana na kinahitaji nini?
Sina maana ya kukufundisha biashara ila nakupa tu tahadhari maana mabenki mazuri sana saa za kukopa ila unaweza shangaa nyumba yako.ya arusha inaondoka kirahisi rahisi tu.
 
mkuu umeongea ukweli...lazima ujidhatiti vizuri kabla hujaenda bank kukopa...

ukileta undugu tu na mchezo bank wanakufilisi
 
Back
Top Bottom