Kinatakiwa chumba na sebule vya kupanga Mwanza.

Man Mvua

JF-Expert Member
Apr 12, 2016
2,183
3,520
Mie ni kijana mwenye miaka 27,natafuta chumba na sebule vya kupanga maeneo yafuatayo ndani ya Mwanza,
》 CCM kirumba
》Kirumba police
》 Mabatini (kusiko na mafuriko)
》Malimbe au SAUT
》Mwaloni
》 Na maeneo mengine ya nyamagana.

Bajeti yangu ni 50 000 kwa mwezi na pia naomba nianze kulipa miezi mitatu kwanza ( Maana mjomba JPM kabana sana)

Kwa yeyote anayeweza kunisaidia kupata iyo chumba na sebule tuwasiliane. 0786477112/0756200086/0655646568.

Ahsanteni:
 
Kesho mpigie mwenye namba hii 0762738639 usipige saiv tafadhali, yupo maeneo ya king Palace jiran na monarch hotel anaweza kukusaidia.
 
Mie ni kijana mwenye miaka 27,natafuta chumba na sebule vya kupanga maeneo yafuatayo ndani ya Mwanza,
》 CCM kirumba
》Kirumba police
》 Mabatini (kusiko na mafuriko)
》Malimbe au SAUT
》Mwaloni
》 Na maeneo mengine ya nyamagana.

Bajeti yangu ni 50 000 kwa mwezi na pia naomba nianze kulipa miezi mitatu kwanza ( Maana mjomba JPM kabana sana)

Kwa yeyote anayeweza kunisaidia kupata iyo chumba na sebule tuwasiliane. 0786477112/0756200086/0655646568.

Ahsanteni:

Huko Milimani hao " majangili " na kule mitaani wale " chinja chinja " wameisha?
 
Duhhhh, chumba na sebule elfu 50?? ama kweli ukiweza kuishi Dar basi hakuna mkoa utaweza kukushinda kuishi. Elfu 50 vyumba vya kutafuta kwa tochi Dar tena vya kawaida sana na vingine havina hata seilling board!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom