Natafuta mtu wa kubadilishana naye kituo cha kazi

Dsm - Dony

New Member
Jun 15, 2016
3
0
Jamany watu wangu wa nguvu naitwa mwalimu Mahamba nipo manispaa ya Tabora idara sekondari ,natafuta MTU wa kubadilishana naye kituo cha kazi mm nije busokelo na yy aje tabora,naomba kama kuna MTU unamjua usiaite kumpa hizi taarifa.
 
Back
Top Bottom