Habari wanaJF natafuta mtaalamu wa Tally Accounting Package anifanyie connection, anitengeneze chart of accounts na nimuulize kuhusu some features. Naombeni mnisaidie.

mimi hapa nipo fuluu una bei gani