Biashara tiles ya Spain

Ngondonyoni

Senior Member
Feb 16, 2016
120
74
Wakuu, kwa wale Wanaohitaji Spanish tiles orijino, kwa bei che, mzigo unapatikana wa tiles ya 45 X 45 cm, red paste. Square metre ni vigae tano. Square metre inaanza @tsh 35000, bei inapungua. Kwa Kuona sampuli kwa picha ni PD namba wassap. Kwa kuziangalia na kuzicheki sampuli Piga 0763821010.
 
Sampuli kadhaa hizo hapa.
 

Attachments

  • IMG-20160219-WA0033.jpg
    IMG-20160219-WA0033.jpg
    17.3 KB · Views: 276
  • IMG-20160219-WA0031.jpg
    IMG-20160219-WA0031.jpg
    21.9 KB · Views: 292
  • IMG-20160219-WA0034.jpg
    IMG-20160219-WA0034.jpg
    24.4 KB · Views: 295
  • IMG-20160219-WA0032.jpg
    IMG-20160219-WA0032.jpg
    20.5 KB · Views: 277
Wakuu haya mnaweza pía kupata sampling ya tile ya Spain ya kwetu. Size 45 X 45 na bei Ile Ile kwa square metre tsh 35000... karibuni
 

Attachments

  • 20150529_124742.jpg
    20150529_124742.jpg
    226.2 KB · Views: 226
Wakuu... moja wa wateja walionunua tiles zetu ameturuhusu tuonyeshe uzuri wa verandah yake. Zinapendeza sana. Karibuni mfurahie ofa zetu.
 

Attachments

  • 20160304_105901.jpg
    20160304_105901.jpg
    117.7 KB · Views: 270
  • 20160304_105849.jpg
    20160304_105849.jpg
    105.7 KB · Views: 237
Ofa inaendelea. Boresha mandari ya nyumba yako. Pata Spanish tiles original. 0763821010
 
SPANISH TILES BEI NAFUU BADO ZINAPATIKANA FLOOR TILES 45 X 45 CM 0763821010 . KWA MAELEZO YA PICHA PLEASE PM
 
Spanish tiles 45 × 45 bado zipo. Weka mandari ya nyumba yako vizuri. Unene wa mm 8 mpaka 9, high stain resistance, water resistant, vinakaa miaka na miaka bila shida. Nipm ili tuwasiliane kwa wassap.
 
Spanish tiles 45 × 45 bado zipo. Weka mandari ya nyumba yako vizuri. Unene wa mm 8 mpaka 9, high stain resistance, water resistant, vinakaa miaka na miaka bila shida. Nipm ili tuwasiliane kwa wassap.
Nilikuuliza kama bado zipo hujajibu
 
Haha. Jitahidi ndugu yangu. Spanish zinadumu sana. Vigaee vya China pole pole vinaanza kuwa na ubora lakini lazima ufanye utafiti sana. Ukinunua Spanish huwezi kukosea
 
Mkuu Ngondonyoni,
Samahani, sikuvurugii biashara yako na sina dhamira hiyo ila nataka kuweka bayana kile nnachokifahamu kuhusu building materials especially hizi tiles. So kama utakuwa na maelezo ya kina juu hii thread yako tafadhali tuthibitishie ubora kama ambavyo nimefafanua hapa chini:
  • Spain hawatengezi tiles, kimsingi tiles zinatengenezwa China ila kwa quality tofauti totafuti kutegemea na nchi husika zinapokwenda. So ukisema spanish tiles ina maana ni za quality ya Spain na si kwamba zimetengenezwa Spain.
  • Kuna ujanja mwingi sana wa kibiashara especially kwa bidhaa kutoka China. Inaaminika kuwa Spanish tiles ni quality bora kabisa of which to my understanding si kweli sometimes. Kwani some businessmen wa kitanzania wana collude na wenzao wa China ili watengeneze bidhaa na kukubaliana juu ya quality flani ambayo itakaribiana na ile iliyokusudiwa.
  • Nimeshanunua spanish tiles at expensive price ambayo nimekuja kubaini ni low quality kabsaa kwani imeweka scratches kibao kama tiles za kawaida tu.
Kutokana na maelezo yangu hapo juu na conclude kuwa si kila iitwayo spanish tile itakuwa na ubora wa hali ya juu kama ambavyo ingepasa kuwa.
So funguka ndugu kwenye quality ya bidhaa yako.[/QUOTE]
 
Ndugu wamichoso. Nashukuru sana. Kwanza, ni kweli nimesikia kwa wengi uwepo wa tiles zenye nembo za Spain lakini zinatoka China. Binafsi sijathibitisha lakini naamini zipo sokoni. Naomba lakini nijibu points. Bidhaa zetu NI Spanish tiles kwa sababu zinatoka Spain, kutoka viwanda vya Onda na Castellón. Ubora au quality ni za Spain kwa sababu zimetengenezwa Spain. Tena Bidhaa zetu ni za quality ya Kwanza Au daraja la kwanza. Hizo Bidhaa tumezileta kama majaribio ya soko pia kujifunza. Tumewekeza pesa nyingi kuhakikisha ni tiles bora. Kama wewe nachukia Kuziona Bidhaa sokoni za ubora wa chini, sababu wengi wanazinunua na baadaye wanagundua kumbe ni low quality. Wataalamu na mafundi wanajua haraka sana Kupima ubora. Wanaangalia uzito, unene, kama ni rectified au la (za China nyingi hazipo rectified), na Wanaangalia stain, water and slide resistance. Naomba pia nikanushe kabisa sentensi yako "Spain hawatengenezi tiles". Google na utaona tofauti kabisa. Spain wanatengeneza tiles sana, tena takwimu za 2015 inaonyesha uzalishaji wa tiles ni kubwa kuliko za Italy Au Uturuki. Sisi daima tunamshauri mteja kama ni mtu Binafsi (si mkandarasi) aje na fundi mtaalamu wa tiles amhakikishie ananunua tiles za ukweli na si feki. Karibu sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom