Ni wapi yanapouzwa mashuka kwa jumla (wholesale)

Ndembwela

Member
Oct 7, 2013
13
6
Habari wanaJF.
Ninaomba msaada wa mahali pa kuyapata Mashuka ya Uganda na Pakistan hapa Tanzania kwa bei ya jumla.

Au kama kuna mtu anaushauri mzuri wa jinsi ya kufanya biashara ya mashuka nitashukuru nikipata msaada wa mawazo.

Pia ningependa kujua yanakopatikana mashuka ya kimasai kwa bei nzuri ya jumla.

Asanteni
 
Back
Top Bottom