Tanzania Krav Maga, Self-defense, Martial Arts Training & ConditioningNataka nianze kujifunza mdogomdogo hii course.
Naombeni wanaofahamu wapi wanapofundisha na mimi nijiunge.
Shukrani.
Tafuta pia wataalam wa Kinamotay, nayo ni nzuri.Nataka mtu akinizingua nimpe za chembe. Mambo ya kutumia mguu wa kuku ni hatari zaidi.
Katika Martial arts kinacho count ni self efforts. Kuna watu wana miaka lakini ni wazuri kwenye kukariri aina ya mapigo, mikao na kuzicheza kata, lakini ukiwaleta kwenye serious komite hakuna kitu. Halafu inategemea na uzuri unaouongelea, je ni wa kupambana au kufundisha wengine?Inachukua muda gani hiyo hadi kuwa vizuri?
Katika Martial arts kinacho count ni self efforts. Kuna watu wana miaka lakini ni wazuri kwenye kukariri aina ya mapigo, mikao na kuzicheza kata, lakini ukiwaleta kwenye serious komite hakuna kitu. Halafu inategemea na uzuri unaouongelea, je ni wa kupambana au kufundisha wengine?
Sitaki kufundisha. Nataka kwa matumizi binafsi.
Baada ya Mafunzo ya pamoja hakikisha unajitengea muda usiopungua masaa matatu (kila siku ikibidi) ukifanya mazoezi zaidi, hapo utakua umeimarika ndani ya muda mfupi sana.
Ni jitihada binafsi ndiyo zitakazokufanukisha mkuu.
nenda israel mzeeAsante mkuu. Nitafanya hivyo.