Whatsapp 2 kwenye simu/namba 1

thefreedot

Senior Member
May 21, 2015
135
25
Kama unahitaji kuwa na account za whatsapp 2 kwa kutumia kwenye simu moja kwa namba hiyo hiyo uitumiayo au nyingine (simu ya dabo line). Nitafute nikuwekee. Tsh. 5,000

Mawasiliano: 0655-659-115, 0624-132-227 Whatsapp : 0769-663-092
 
Kuna wataokao hitaji msaada huo wengine hawana ujuzi huo...na mimi malipo ni kwa muda wangu...!
 
Wabongo bwana hata hiyo unataka hela, download from google ogwhatsapp pia zipo app nyingine, rahisi sana hata nikimwekea mtu sitaki hela bure kabisa
 
Na njia niitumiayo mimi pia itakuwezesha kuwa na account 2 nakuendelea za facebook kama unahitaji...!
 
Hivo unaweza kuchat na kuendelea na mambo yako fb kwa kutumia account mbili tofauti bila ku log out kwa wakati mmoja...!
 
Back
Top Bottom