Plots mbili ziko moriet ukubwa 33 by 22 each ni surveyed price 25nmb each, Kia kuna plots mbili moshono one is 25 by 20 location nzuri sana @ 20 min n.a. nyingine 22 by 20 @ 12Mln. Kama uko...
Ninauza Viwanja vyangu vipo Mivumono Wazo Hill
Vipo karibu na njia panda ukiwa unatokea Wazo Hill
Ni viwanja vizuri, tambalale, huduma zote za kijamii zipo
Ukubwa: 20" x 20"
Bei: 9M (Maongezi...
Viwanja vipo katika eneo lillilopimwa na ni vya 20*20m, umeme upo na maji ya mradi mpya (dawasco)
Viwanja vipo 200m toka kinapojengwa chuo kipya cha Muhimbili na vinaanzia 7m to 13.5m
Barabara za...
Habari yana bodi.
Kwa yeyote mwenye uwezo wa ku Supply Mafuta ya Sunflower kwa kiwango kikubwa naomba anione PM (Mafuta lazima yawe ya kitanzania).
Akija PM, anipatie details kama...
Nauza laptop Dell latitude D620, HDD 160 GB, RAM 2GB, haina shida yoyote ni mpya kabisa bei ni 230,000 maelewano yapo, wale wa Mwanza au jirani wani-PM tafadhali.
Nyumba inauzwa ipo chang'ombe usalama ipo barabarani kabisa,ni eneo safi sana kwakuweka godown,yard ya magari,Kama wengine pembeni walivo fanya.bei ni milioni 550.Kama upo serious nichek 0716385824
Ina vyumba vinne master, Jiko , sebule, fence na parking nzur, maji , umeme pia nyumba inafikika Kirahisi!!
Bei:laki 5 kwa mwezi
Mahali:kibada kigamboni Dar es salaam
Simu:0718295182 au...
Wasalaam:
NAUZA kiwanja chenye ukubwa wa square metre 840(unsurveyed) kipo Kata ya GOBA eneo linaitwa TEGETA A bei ni tsh 20 million ni viwanja viwili nimeunganisha pamoja kina mikataba yote ya...
Habari wakuu.
Eneo la makazi na kilimo lililopo kilometa 20 toka msamvu kuelekea Dodoma na kilometa 5 toka barabara kuu iendayo Dodoma naliuza. Kuna Ekari 3 ambapo kila moja nauza...
Habari wakuu,
Naomba mwenye kreti za soda zikiwa na chupa tupu anitafute tufanye biashara.Nitumie ujumbe kwenye namba 0673404808, then nitakupigia.
Napatikana Dar es salaam.
Asanteni.
Samsung Galaxy s6 edge inauzwa laki tisa tu(900k), ni mpya ipo kwenye box.
Ram 3gb
Memory 32gb
Screen 5.1"
Karibuni sana,wahi maana zipo chache na wateja wetu wengi ni wauzaji wa madukani.
Rejea kichwa cha Habari hapo juu, kiwanja kizuri kipo maeneo ya tabata kinyerezi, Mbuyuni. Kipo eneo zuri na mazingira ya kuvutia.... Kina mapana ya mita 61 kwa 31....
Kwa maelezo zaidi na bei...
Habarini mimi si mjuzi wa mambo haya kiivyo ila juzi nimeletewa na jamaa kama 200 za unga wa red mercury ( kwa mujibu wake) vipimo tulivyofanya ni kumwagia kwenye lizla ile ya sigara ikawaka moto...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.